Angalizo kwa Rais na RC Makonda la kupewa ekari 1,500 za ardhi

Yericko, nimepata hisia kuwa nguvu kubwa anayoitumia Makonda hapa mkoani ni kujaribu kuficha udhaifu wake wa kielimu. Yaani alikuwa anajihami ili watu wafikirie zaidi utendaji wake, washahau historia yake ya elimu. Sasa amegusa pabaya, kila analofanya anakosea. Hajishughulishi kusoma maana hajasoma. Hizo ripot za CAG hana muda wa kusoma maana hata angesoma asingeelewa.
 
Jaman watanzania wenzangu hivi mnaomba Makonda akosee au vipi??? Kikubwa wooote tuseme na tushauri hili liwe jambo lenye ukweli na lisiwe na ufisadi wala makandokando au uchafu wowote kupewa sio tatizo kuna wazee wetu wametoa maeneo yakajengwa shule mfano kwa wale walokulia temeke kuna shule inaitwa MADENGE ni eneo la BitMadenge alitoa ijengwe shule na misikiti mingi maeneo yake ni WAKFU wamepewa so hayo hamyaoni kikubwa uhalali,usafi na kutokuwepo ufisadi jamaa wametoa kwa faida ya nchi sasa hamtaki nchi iendelee jamani...STUPID COUNTRY
 
Dunia ya kibepari hii hamna wa kutoa ardhi bila manufaa kwa wakati huu

Eneo lenyewe ni dar

Inahitaji uwe kichaa kuamin mtu kutoa hekari 1500 bure

Jaman watanzania wenzangu hivi mnaomba Makonda akosee au vipi??? Kikubwa wooote tuseme na tushauri hili liwe jambo lenye ukweli na lisiwe na ufisadi wala makandokando au uchafu wowote kupewa sio tatizo kuna wazee wetu wametoa maeneo yakajengwa shule mfano kwa wale walokulia temeke kuna shule inaitwa MADENGE ni eneo la BitMadenge alitoa ijengwe shule na misikiti mingi maeneo yake ni WAKFU wamepewa so hayo hamyaoni kikubwa uhalali,usafi na kutokuwepo ufisadi jamaa wametoa kwa faida ya nchi sasa hamtaki nchi iendelee jamani...STUPID COUNTRY
 
Jaman watanzania wenzangu hivi mnaomba Makonda akosee au vipi??? Kikubwa wooote tuseme na tushauri hili liwe jambo lenye ukweli na lisiwe na ufisadi wala makandokando au uchafu wowote kupewa sio tatizo kuna wazee wetu wametoa maeneo yakajengwa shule mfano kwa wale walokulia temeke kuna shule inaitwa MADENGE ni eneo la BitMadenge alitoa ijengwe shule na misikiti mingi maeneo yake ni WAKFU wamepewa so hayo hamyaoni kikubwa uhalali,usafi na kutokuwepo ufisadi jamaa wametoa kwa faida ya nchi sasa hamtaki nchi iendelee jamani...STUPID COUNTRY
Hivi wewe unajua hata kama una billions of money ukitaka kutengeneza barabara ni lazima ufuate taratibu!!?
 
MNAPENDA VYA BURE EHH

OVA
Jaman watanzania wenzangu hivi mnaomba Makonda akosee au vipi??? Kikubwa wooote tuseme na tushauri hili liwe jambo lenye ukweli na lisiwe na ufisadi wala makandokando au uchafu wowote kupewa sio tatizo kuna wazee wetu wametoa maeneo yakajengwa shule mfano kwa wale walokulia temeke kuna shule inaitwa MADENGE ni eneo la BitMadenge alitoa ijengwe shule na misikiti mingi maeneo yake ni WAKFU wamepewa so hayo hamyaoni kikubwa uhalali,usafi na kutokuwepo ufisadi jamaa wametoa kwa faida ya nchi sasa hamtaki nchi iendelee jamani...STUPID COUNTRY
 
Live long JF
 
Attachments

  • www.instagram.com+-+760203415.mp4
    2.4 MB · Views: 33
Yericko, nimepata hisia kuwa nguvu kubwa anayoitumia Makonda hapa mkoani ni kujaribu kuficha udhaifu wake wa kielimu. Yaani alikuwa anajihami ili watu wafikirie zaidi utendaji wake, washahau historia yake ya elimu. Sasa amegusa pabaya, kila analofanya anakosea. Hajishughulishi kusoma maana hajasoma. Hizo ripot za CAG hana muda wa kusoma maana hata angesoma asingeelewa.
 
Ikiwa mkuu amemfungia macho huyu mkuu wakati huo huo akiwatumbuwa akina Malechela na Md watanesco. Basi hii ni dhahiri ule usemi wakuwatumbuwa watu ni wavisasi na sio nia ya dhati ya mkuu kulijenga taifa nakuleta nidham. Mm nionavyo huyu mkuu wamkoa awezakuwa chanzo cha serikali yahuyu bwana kuyerereka. Tutulie nakuona what next.

Nimerudia kusoma zaidi ya mara 5,sijaamini kama ni wewe uvccm umeandika hivyo.
 
Nakupongeza Mkuu wa Mkoa Dar Bwana Paul C. Makonda kwa kupewa ekari 1500 kwa ajili ya uanzishwaji wa viwanda vidogovidogo.

Angalizo langu kwako, chunga sana usije kumwingiza Rais wetu kipenzi kwenye kashifa kubwa itakayoyumbisha nchi yetu. Soma ripoti ya CAG ya 2015/2016 juu ya kampuni hiyo iliyokupa ardhi kigamboni. Nasisitiza soma ripoti ile mkuu. Lakini usiishie hapo tu, soma sheria ya umiliki ardhi kwa mzawa na mgeni. Ukishindwa muone Waziri husika.

Usije kujikuta Mh Makonda unatumiwa kutakatisha haramu kuwa halali bila kujijua ama ukijua vema.

Na Yericko Nyerere

=======

Paul Makonda amekabidhiwa hekari 1500 za ardhi kujenga Viwanda “Dar es Salaam Industrial Area”
Posted on February 21, 2017
MAKONDA-VIWANDA-1024x1024.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda amekabidhiwa hekari 1500 za ardhi katika eneo la Lingati Kisarawe 2 Wilayani Kigamboni jijini Dsm litakalotumika kujenga Viwanda vidogo vidogo na vyakati litakalojulikana kama Dares salaam Industrial Area.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa hekari hizo na Mkurugenzi wa Azimio Estaste inayomiliki maeneo mengi ya Uwekezaji hususan Viwanda katika wilaya ya kigamboni Bw,Mohamed Iqbar amesema hekali hizo zitagawanywa katika makundi ya uwekezaji viwanda vidogo na vyakati,Ufugaji wa mifugo ikiwemo ng’ombe na mbuzi lakini pia kilimo.

Amesema baada ya kukamilika utaratibu wa Upimaji eneo hilo litatengwa katika makundi matano ambapo wajasilimali kutoka wilaya zote za jiji la dsm wenye nia ya kuwekeza watakabidhiwa maeneo hayo kwa utaratibu utakaopangwa.

Hata hivyo makonda ametoa tahadhari kwa wale wananchi wazalendo wanaojitolea kwa ajili ya jamii.

Mkurugenzi wa Azimio Estate inayomiliki maeneo hayo amesema ameamua kutoa ardhi hiyo kwa Mkuu huyo wa mkoa wa dsm kuunga mkono jitihada zinazofanywa na rais John Magufuri katika kuhakikisha tanzania inaelekea katika ujenzi wa viwanda.

Chanzo: Channel Ten
Mkuu...Taarifa zimefikaaa
 
Back
Top Bottom