Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,742
Jaribu sana kutumia akili kujifunza kwe mwenzako Masoud Kipanya.
Nmeona mchoro ambao umemchora kambi lugoda akimuuliza kibwangala kuwa inakuaje wote walikuwa na issue kubwa ila yeye kapona kabaki kwenye nafasi yake.
Umemfanya kibwangala kujibu kuwa kagere (hirizi) ndiyo inamsaidia. Hili jambo la kuita hirizi kagere limenisikitisha sana.
Kagere namfahamu ni muislamu safi asiyetumia hirizi na siku ile refarii alikuja kuulizwa akakiri kuwa ilikuwa cheni.ukienda you tube pia utakuta ushahidi.
Inaonesha kuwa unaweka ushabiki wako wa mpira katika mambo ambayo mwishowe unawachafua watu.mbona masoud kipanya huwa anaandika vitu vikirishi na vyenye maana unbiased? Jiangalie bwana mdogo unaweza poteza fans wengi sana katika mambo ya kuchafua watu.
Umtake radhi meddie kagere maana naye amesikitika sana na ni mshkaji ambaye hana maneno hata kwa sisi wanayanga.why umchafue hivyo?