Angalizo kwa Mchoraji King Kinya : Ajihadhali sana na Chachu ya Mafarisayo

Tena mlrta uzi amelikuza NENO KAGERE mimi sikulijua
Mkuu, lugha ya Kiswahili inakuwa na inapata misamiati mipya kila kukicha. Bahati mbaya tu ni kuwa hii kitu hii imepata hilo jina la "kagere" huyu mchoraji wa vibonzo anatumia lugha ya kitaa tu kufikisha ujumbe wake. Wapenzi, mashabiki na wanachama wa Simba S.C watulie tu ktk hiki kipindi kigumu wanachokipitia. Watazoea tu jina hilo kama lile "vyura" lilivyozoeleka na wana wa Jangwani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muislamu.

Meddie Kagere hajawahi kuwa Muislamu labda unachanganya jina lake la Meddie na Ahmed. Kuhusu hirizi nadhani kuna kitu hakumtendea haki kagere Ila kwanini muandishi kafikia huku Kama sio Kuna Jambo
 
Meddie Kagere hajawahi kuwa Muislamu labda unachanganya jina lake la Meddie na Ahmed. Kuhusu hirizi nadhani kuna kitu hakumtendea haki kagere Ila kwanini muandishi kafikia huku Kama sio Kuna Jambo
Siku ile kagere alibebeshwa hirizi. Simba oyeee na hirizi la kagere liliwaokoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images (7).jpeg
 
Jaribu sana kutumia akili kujifunza kwe mwenzako Masoud Kipanya.

Nmeona mchoro ambao umemchora kambi lugoda akimuuliza kibwangala kuwa inakuaje wote walikuwa na issue kubwa ila yeye kapona kabaki kwenye nafasi yake.

Umemfanya kibwangala kujibu kuwa kagere (hirizi) ndiyo inamsaidia. Hili jambo la kuita hirizi kagere limenisikitisha sana.

Kagere namfahamu ni muislamu safi asiyetumia hirizi na siku ile refarii alikuja kuulizwa akakiri kuwa ilikuwa cheni.ukienda you tube pia utakuta ushahidi.

Inaonesha kuwa unaweka ushabiki wako wa mpira katika mambo ambayo mwishowe unawachafua watu.mbona masoud kipanya huwa anaandika vitu vikirishi na vyenye maana unbiased? Jiangalie bwana mdogo unaweza poteza fans wengi sana katika mambo ya kuchafua watu.

Umtake radhi meddie kagere maana naye amesikitika sana na ni mshkaji ambaye hana maneno hata kwa sisi wanayanga.why umchafue hivyo?
Kwani Kagere yuko peke yake hapa duniani? Mbona hapa mtaani kwetu kuna mtu anaitwa Kagere?
 
Back
Top Bottom