Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Duh umechemsha mkuu sio Tsh Million 16 ni $ million 16 hahahaha
upo wrong hauna mahali nimesema ni Tshs ni mambo ya USD post zangu zote
labda tukiacha Jokes ilitamkwa USD 14 ambazo ni za ATCL walizokusanyalkn ndege wanakodi kutoka Serikalini hayo malipo ni mengine tena.
Ikumbukwe ATCL ilikuwa inakopa ndege kwa mataifa mengine na ilipofikia kuwakopa SA na Kenya ndipo Serikali ikaingilia kati.
Na hata majuzi ATCL walitaka walete Ndege za hivyo naona kujipatia marupurupu ya pembeni wakakataliwa
hayo tuyaache ya Ngoswe
 
Mbona jamaa aliyesema ndege itatua ikasemwa muongo akamatwe mbona kweli imefika ?
Hata mimi najiuliza sana hii kitu ni kwa nini safari hii ujio wa hii ndege umefanywa kuwa siri sana...
Nilijua yule jamaa wa atcl tv anasema urongo ndo maana waziri kamulwe aling'aka lakini kumbe ilikuwa kwel ila sirikali haikutaka watu wajue...
 
Daahh haaminiki mtu yoyote sasa. Hata mawaziri kama shughuli ya kitaifa sio ya wizara yako unakaa mita 4 kuleee. 2020 kampeni sijui zitakuwaje?
 
Sio kumshika mshika tu rais mkono wake, rais anasalimiana na wale anaopenda kusalimiana nao tu. Kuna watu wabaya ambao wanaweza kumdhuru. Halafu hii tabia ya kila Tom, Dick and Harry kumsalimia salimia rais sio nzuri kunaweza kuwa na mapandikizi. Huyu rais lazima alindwe sana kwa udi na uvumba.
 
Hata Suma JKT security hawafanyi hivyo,ila inawezekana wame ongeza tahadhari kwenye ulinzi wa rais wetu.
 
Hv ICU unakujua au unakata mauno tu hapa jamvin?
Nchi hii ilikuwa kwenye chumba cha watu MAHUTUTI/ Intensive Care Unit "ICU".
Ingekuwa hata ni Afazali kama angeikuta ikiwa kwenye chumba cha HDU "High Dependency Unity"
Kwa kifupi nchi ilikuwa inapumulia machine katika sekta nyingi. WACHACHE ndo waliokuwa nazo na WENGI walibaki wakilamba vidole tu MASKINI.
Sasa kwa kuwa amefuruga Mtaandao wenu ndo mnamchukia sana.
Mwacheni afanye kazi yake.
Ukweli unauma,lakini ni vizuri tuuseme jamani.
 
mi nadhani kuna kitu watu wanashindwa kukielewa ama wanajitoa ufahamu.Kila kitu cha Maendeleo sio lazima kikuguse wewe.Ukisema ndege zitamsaidiaje mtu wa kijijini,pia basi mwingine anaweza sema kuweka zahanati kijijini kutamsaidiaje mtu anaishi Masaki!Ni lazima tukubali maendeleo nchi nzima hayaji siku moja.Leo Uchina tunaoona wako vizuri,bado kuna wananchi hawajawahi kuona umeme,maji nk.Wanaishi kwenye maisha magumu,lakini Uchina ni taifa kubwa na limeeendelea.
Kwani kabla ya ndege kununuliwa huko vijijini kulikuwa na maji?Yani kuwa ndege zilivokuja maji yakakatika 😂 😂 .Maraisi waliopita mbona hawakuleta ndege,Ok,lakini mbona maji pia hayakuwepo?Atleast huyu tunaona kitu kinachofanyika.Kuna kipindi cha mkapa kulinunulia ndege na watu waliambiwa hata wale nyasi lazima ndege inunuliwe,na ile ilikuwa ya raisi tu,so haikuwa ya biashara,lakini watu hawakusema.Ama kipindi hicho watanzania wote tulikuwa na umeme na maji?
Pia ilinunuliwa radar ,watu wakapiga pesa,lakini hamkuuliza radar itamsaidiaje mtu wa kijijini😂😂😂😂😂.Acheni propaganda zisizo na mashiko.Ingekuwa ccm ya zamani hizi hela zingeenda mifukoni mwa wachache.Na ingekuwa chama kingine hizi hela zingeenda kwa mwenyekiti😂😂😂😂
 
Wana wasiwasi na wahindi labda, yule Mwarabu, Rostam Azizi aliwahi kushutumiwa kumuwekea sumu Dk.Mwakyembe kwenye taulo hotelini, siku hizi mwakyembe kawa na ngozi kama babu, kucha kama kigagula.

Waacheni wamlinde ndio majukumu yao, akiugua mtawauliza waikuwa wapi , an kwanini hawa kufanya kazi yao.
 
Makonda yuko vizuri katika kumbukizi, yaani ametaja mito yote mikubwa ya Dar na km zake bila kusoma.
ha ha ha ha ha........ inachekesha, hiyo hata yule mjukuu wangu wa std III si anaimba kama wimbo wa Taifa, mpe mtihani mwingine mwepesi
 
Nchi hii ilikuwa kwenye chumba cha watu MAHUTUTI/ Intensive Care Unit "ICU".
Ingekuwa hata ni Afazali kama angeikuta ikiwa kwenye chumba cha HDU "High Dependency Unity"
Kwa kifupi nchi ilikuwa inapumulia machine katika sekta nyingi. WACHACHE ndo waliokuwa nazo na WENGI walibaki wakilamba vidole tu MASKINI.
Sasa kwa kuwa amefuruga Mtaandao wenu ndo mnamchukia sana.
Mwacheni afanye kazi yake.
Ukweli unauma,lakini ni vizuri tuuseme jamani.
Sasa wanalamba nini, husikiii wala huoni mtu ametoka hapo kwenu, wiki bomba halima maji kaenda kuoga Mwanza,Upo hapo
 
Hata mimi najiuliza sana hii kitu ni kwa nini safari hii ujio wa hii ndege umefanywa kuwa siri sana...
Nilijua yule jamaa wa atcl tv anasema urongo ndo maana waziri kamulwe aling'aka lakini kumbe ilikuwa kwel ila sirikali haikutaka watu wajue...
Halafu imekuja na watu watatu tu, yule rubani kutoka boeng na marubani wabongo wawili
 
KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU

SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO

NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI...NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA

MSIKURUPUKE KUJA HUMU
KAMA MKO NILIPO HAPA AIRPORT NAOMBA MSIKIMBIE MSIJETUTIA AIBU
Kwa vile wewe mshamba unafikiri wote washamba kama wewe. Mumekuja mjini hata magovi hamjakata leo mnajifanya ndio wenye mji.
 
Back
Top Bottom