Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Ni wazi wewe ndo umezaliwa na njaa njaa na shida huko kwenu. Si bure hata shule umesomeshwa kwa pesa za mapipa ya pombe. Otherwise usingekerwa na anayesema yeye juhudi zake zimesaidia uwepo wa hizo ndege. Kauli isiyo pingika
Unaonaje ukienda kujitakasa mwili na akili?Maana unarukiarukia vitu vyenye ncha kali sana.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom