Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni

Ndugu umeshaur vizur, ila umesahau kitu kimoja muhim kuliko vyote, kwa imani ya kila moja asisahau kw mtanguliza Mungu wake, KWAN WENGI TUNA AMIN MPAJI NI MUNGU,mengi yanatokea kweny hii dunia mabaya saaaana na mazuri saaaana na ya wastan saaana, jiulize mbona kati ya haya unaweza kua nayo au ucwe nayo.Naamin ni MUNGU.
 
huyo mwenye plan ni kichwa mi nipo serekalin lakin nimeuona walaka unaowakataza wakurugenz kuajiri kwa sasa maana hakuna pesa
 
Cjutii kuingia jamvin ucku huu ilihali kesho nina mid-term test hapa xul ILBORU tangu nilipoanza kuifuatilia hii jf najfunza v2 vngi sana ktk maisha lakini hili halina mfano,nashukuru sana mtoa mada na wachangiaji,cz safari yangu bado bt imewiva nipo kdato cha 5,na nina tegemea kupata msaada zaidi kuptia kwenu. MUNGU AWABARIKI.
 
Cjutii kuingia jamvin ucku huu ilihali kesho nina mid-term test hapa xul ILBORU tangu nilipoanza kuifuatilia hii jf najfunza v2 vngi sana ktk maisha lakini hili halina mfano,nashukuru sana mtoa mada na wachangiaji,cz safari yangu bado bt imewiva nipo kdato cha 5,na nina tegemea kupata msaada zaidi kuptia kwenu. MUNGU AWABARIKI.

sawa mzee wa kufufuka.
 
Cjutii kuingia jamvin ucku huu ilihali kesho nina mid-term test hapa xul ILBORU tangu nilipoanza kuifuatilia hii jf najfunza v2 vngi sana ktk maisha lakini hili halina mfano,nashukuru sana mtoa mada na wachangiaji,cz safari yangu bado bt imewiva nipo kdato cha 5,na nina tegemea kupata msaada zaidi kuptia kwenu. MUNGU AWABARIKI.

Haya kagonge test kwanza kisha urudi hapa jamvini
 
umenikumbusha UDSM, nilisoma physical education, sports n culture, baadhi ya marafiki wa bcom n law walikuwa wakijoke kwamba dah naona mzee unatengeneza coursework kwa kuogelea, unacheza netball nini, but infact ni kwamba katika course yetu tulikuwa 16 na 10 tuko kwenye central Gvt, na wale washkji zangu bado wananiomba hela za beer hadi jana.
 
huyo mwenye plan ni kichwa mi nipo serekalin lakin nimeuona walaka unaowakataza wakurugenz kuajiri kwa sasa maana hakuna pesa

ukweli ndio huo. serikali haina hela ya kuajiri kwa sasa.
na plan B sio rahisi kutekelezeka kama watu wanavodhani.
ina vikwazo vingii sana plan B.
LAKINI UKIWEZA VIVUKA.HUTATAMANI TENA KUAJIRIWA.
 
ANGALIZO KWA KAKA /DADA NA WADOGO ZANGU WOTE MLIOPO VYUONI NA MNAOTEGEMEA KUMALIZA CHUO
Mi ni graduates wa chuo kimoja cha uma mwaka 2010 and nakummbuka sana stories tulizokuwa tunapiga enzi za chuo na matumaini kibao na washkaji chuoni, especially ambao tuliingia chuo direct from school ambazo mara nyingi zilikuwa tofauti na stories ambazo in services walizokuwa wanaziongelea wakitokea makazini,, so after almost a year In real practical world nimejifunza yafutayo na nimeona si vibaya nikishare na washkaji zangu ambao bado mkpo vyuoni na mtaani mkiendelea na harakati

1.Kwanza kabisa Heshima kwa watu wote ama course yoyote sababu vyuoni kuna tabia ya kujiona huko juu kisa unasoma course flani like Telecom,B com, BAF, logistics etc na kuwaponda wenzako kuwa watasota kitaa au watakuwa na maisha duni kisa wanasoma degree hazieleweki, in real world maisha hayaeleweki na ajira siku hizi si mchezo na hata kubebwa lazima ubebwe na mtu mwenye nguvu kweli kweli sio rahisi kama tunavyozani na hii imechangiwa na technology, siku hizi kazi nyingi zinafanywa under management system so haziitaji nguvu nyingi ya lazima kumwajiri aliyosomea yoyote anafundishwa system kasha anapiga mzigo kama kawa,

2.Pia kuandaa plan B mapema, nadhani weni wetu plan A inakuwa kuajiriwa nah ii inaweza ikabuma so ni vyema kuandaa plan B na hata Plan C if possible mapema na tena itapendeza ukianza nayo toka huko chuoni wakati unapata pata vipesa vya Boom kama mtaji mdogo wa what ur going to do kama usipopata ajira.


3. Kuwa makini kwenye Mahusiano yako, Date the right one sababu patner ndo mtu wa kwanza close kwenye harakati za maisha na hata kupeana furaha hata kama mishe haziendi sawasawa, na vyuoni ni sehemu zenye wide choice so badala ya kupoteza muda na visister duu visivyojua maisha ni nini au visharobaro visivyojielewa kama ni mdada jilengeshe kwa right man ambae mtakuwa pamoja kwenye michakato yote coz hukisubiri uje umpate wakati una kazi nzuri au pesa nyingi atakuwa feki huyo na pia kupata hiyo kazi nzuri na pesa nyingi inaweza isifike hata baada ya 10 years as soko ni gumu sana nowdays and Kila nyumba ina graduates siku hizi so job is a real challenge


4.Jitahidi uwe unique katika competitive market usipende vitu vya kuigana as kufata mkumbo like kukimbilia masters wakati hauna experience tena kwenye vyuo vyetu vya kibongo ulivyosoma undergraduate unaenda kuchukua masters cheti, but u ddnt masters anything because the mean of master is the same as mastering something you know better and wish to continue doing on your life. But ukipata chance abroad atleast utachange pia hata kuimprove communication skills as you know kidhungu ni ishu kwa sisi wabongo. USHAURI HIYO SCHOOL FEES YA MASTER BILA EXPERIENCE NI BORA HUITUMIE KAMA MTAJI KWENYE PLAN B YAKO kuliko kuipeleka chuoni then ukarudi kwenye u jobless


5. Communication skills kwa kiingereza nazo zinahusika nowdays, kwa wale mliopitia English medium schools au kusoma abroad na wote ambao kiingereza mnakijua vizuri tumieni lugha hiyo vizuri kuwachanganya mabosi kwenye interviews au hata kwenye career fairs as you know kwa bongo English deal, although haina maana yoyote.


6. Pia jitahidi ujichanganye na watu mbalimbali ili utengeneze network na pia fuatilia sana kampuni ambazo zinarecruit kila mwaka like KPMG, PWC, DELLOITE, SDV, PKF, ERNST AND YOUNG etc sababu hizo ndizo hope kubwa kwa graduates tusio na connection sababu ziko na fair recruitment japokuwa ni process kupata maana interview sio chini ya tatu na GPA lazima iwe inasoma na ina relate na matokeo ya Form 4 and form 6, sio form4 div 4, form 6 div 3 halafu chuo una first class hapo jamaa watajua chuo umefanya uchakachuaji tu, Nimesema hivyo through my experience working in among those firm since I graduate up to now, na nilipata job bila kumjua hata mfagiaji wa ofisi,, so I encourage my fellows mjaribu bahati zenu..

NI HAYO TU NDUGU ZANGU NIMEONA TUSHARE KAMA KUNA MTU ANA LA KUONGEZEA RUHUSA KWA FAIDA YA NDUGU NA JAMAA

i salute you meen,hii hali ninaipitia sana kitaa, nimekutakana na washkaji niliowaacha chuo wanasoma LLB,cha ajabu nilipowaeleza manene kama ya hapo juu wakanijubu upuuzi kisa boom linawatunza mjini
 
Naangalia maelezo ya mtoa mada na uungaji mkono wa waandishi wengine, ninachokiona ni kuchanganyikiwa kwa wa TZ. Sioni la maana ktk mada hii inayojaribu kuweka misingi ya maisha kama Sheikh Yahay Hussein (RIP).

Achaneni na maisha ya kanuni. Hakuna kanuni ya maisha, hakuna kozi inayouzika kaablaa hujamaliza shule hiyo na usiponzeke na uzoefu wa mtoa mada. Kama yeye kafulia, mwingine kaukata kwa kozi hiyo hiyo.

Muhimu ni kuwa na akili ya kijasiliamali, ili kila wakati ufikilie tofauti na wengine ili uwahi nafasi.

Acheni kuunga mkono bila sababu.
 
Tunashukuru sana kwa mtoa mada hii kiukweli binafsi imenipa changamoto kama mwanachuo wa mwaka wa tatu ninayetegemea kumaliza after 5 months,kiukweli hayo yapo japo si kwa 100% ila tunapaswa kujipanga na hasa kujijengea mbinu za kuwa na plan B,thanks umenipa changamoto
 
Moderators tafadhali iwekeni hii thread kama Sticky, ina ujumbe wa muhimu sana.
 
Mawazo mazuri, ila kila nyumba kuwa na graduate ni uongo wa mchana. Kwa mfano ktk ukoo wetu, niliyefika chuo kikuu ni mimi peke yangu. Kafanye utafiti upya.

Kaka ni angalizo jumla tu, rate ya graduates kwenye families now day ni kubwa kuliko zaman, karibu kila HOUR manager ana ndugu kwenye familia yao ni graduate
 
Tunashukuru sana kwa mtoa mada hii kiukweli binafsi imenipa changamoto kama mwanachuo wa mwaka wa tatu ninayetegemea kumaliza after 5 months,kiukweli hayo yapo japo si kwa 100% ila tunapaswa kujipanga na hasa kujijengea mbinu za kuwa na plan B,thanks umenipa changamoto

Pamoja kaka, hakuna ajira nzuri kama the one you create yourself, its a symbol of educated person who understand the main goal of education
 
i salute you meen,hii hali ninaipitia sana kitaa, nimekutakana na washkaji niliowaacha chuo wanasoma LLB,cha ajabu nilipowaeleza manene kama ya hapo juu wakanijubu upuuzi kisa boom linawatunza mjini

Waache kaka, watakuja kuliona soko lilivyo, law firms kubwa ndo zimeshika market na hazitoi ajira za kueleweka
 
Back
Top Bottom