Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
Hostel ni za shida sana, chumba bei ya chini laki 5, kwa semester si chini ya coz 9 labda uchaguliwe BASO, swala la kuandamana kudai haki sahau, vpindi ni mpaka jumamosi. Nawasilisha.

..ujingakama elimu ni gharama, jaribu .....
Na kuanzia mwakani wavulana hakuna kuvaa jeans ni kitambaa kwenda mbele.
Saut ndo wapi?
Nasikia SAUT ina madada POA wa kumwaga.