Elections 2010 Angalizo kwa chadema

Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
3,061
5,393
Wanajf,

Kama mkiangalia kwa undani CCM wako very strategic kuchakachua matokeo. Wameanzisha fujo Temeke, Kigoma Mwanza na Tarime makusudi. Lengo ni kuwafanya watu wakoncentrate sehemu zenye vurugu na utata wao wachakachue sehemu ingine. Wanachadema na wanaharakati tusilale kona zote za nchi mpaka kieleweke. Hakuna kulala
 
Ushauri mzuri sana. I hate tume ya uchaguzi kutoka uvunguni mwa moyo wangu.
 
Hata mimi nakubaliana kabisa cha muhimu tuzingatie ushauri wa kila mara wa DR.SLAA amekuwa na msemo wake kuwa;"hakikisheni mnajitokeza kwa wingi kupiga kura, kisha hakikisheni mnazilinda kura zenu kwani kura yako ndiyo, mabati, cement,afya, elimu n.k." ninaomba sana tumuenzi huyu RAIS wetu mtarajiwa kwa kulinda kura hadi kieleweke" hakuna kurudia kuhesabu kura hiyo ndiyo iwe siraha yetu na hakuna kutoka tume hadi watangaze tukiwabana sana watatangaza tu.

Dr.SLAA nakusifu sana kwa kutuelimisha kwa hilo tulifanyie kazi WATANZANIA.Mkapa amekutukana sana juzi akikufananisha na kokoto leo hii umekuwa lulu atasemaje??? natamani awepo siku ya handing over yako na KIKWETE pale uwanja wa taifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom