Angalizo kwa CHADEMA juu ya Jimbo la Kigoma Kusini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo kwa CHADEMA juu ya Jimbo la Kigoma Kusini!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KING COBRA, Dec 18, 2011.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kafulila amefukuzwa Uanachama NCCR wakati akipinga NCCR kutumiwa na CCM hoja ambayo iliungwa na Mbowe katk harakati za kukataa kuungana na Mbatia katika Umoja wa Vyama vya upinzani

  Kule Kigoma Kusini Kafulila ana nguvu na katika mtandao wa Chama , Chadema na NCCR ndivyo vyenye Nguvu!!
  Mgombea wa CHadema ni Mhindi anaitwa Hassanary na hakubaliki huku!!!

  Mbinu Pekee ya CDM kushinda Uchaguzi huo ni kumushawishi Kafulila kama CCM walivyo mshawishi Rostam !!!

  Endapo kafulila atarudi CDM , Kauli ya Mbowe kuwa Mbatia ni CCM -B itakuwa agenda ya uchaguzi na jimbo hilo litahamia CDM !!!
  Pia Mkosamali anaweza kurejesha kadi ya Uanachama NCCR kwani alisema hataki kuona Mbatia anaendelea Kuwa Mwenyekiti !!!

  Sasa hapa majimbo yote hayo mawili yanaweza kurudi CDM!!!
  Ukweli uliopo ni kwamba Siasa za Nchi hii ni kwamba mtu yupo tayari kuitumikia CCM na kuuza wanyonge!!

  Endapo CDM watashindwa kumuchukua Kafulila kule jimboni kura zinaweza kugawanyika kwa kuwa Mbatia amiengia Mkataba na CCM ili jimbo hilo linge CCM na yeye apate ubunge kupitia Afrika Mashariki!!

  Vita hii ni ya kimutizamo!!!
   
 2. G

  Galinsanga Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kafulila anayeweza kumuleta or kutomuleta CDM ni jamaa yake Zito.

  Angalizo tu ni kwamba wananchi wakati huu pia wamefikia hatua hawachagui vyama, bali mtu.
   
 3. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nasubiri Mtatiro atuambie mtaji wa CUF Kigoma kusini ni Upi maana Igunga alitudanganya wana mtaji wa kura 11000 kwa hiyo wakataka wapewe support na CDM. Mwisho wa siku ilikuja kugundulika kwamba mtaji wao halisi ulikuwa kura 2000 tu.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280

  Haaaaaaa Mtaji wa kafu unanichekesha sana lol,ngoja tuone KGM kusini wana mtaji gani?
   
 5. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  chadema iliyakosa majimbo 4 yaliyochukuliwa na nccr kwa sababu ya zito

  zito alimpigia kampeni kafulila, kafulila akawapigia wenzake

  safari hii ngoja tuuone unafiki mwingine wa zito
   
 6. vengu

  vengu JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  Hasara kwa taifa,hasara kwa wana kigoma,hasara kwa nccr a.k.a ccm c,hasara kwa kafulia...Hasara tupu!
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,654
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama NCCR itafika 2015 naona sasa ndio inakufa kabisa, R.I.P NCCR R.I.P MBATIA.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Naamini kwua Chadema itakuwa inajiua iwapo itafanya hivi. Kwanza, kafulila alitoka Chadema kwa matatizo. Lakini, hoja kuwa NCCR ni CCM B sidhani kama ina mashiko sana ya kusababisha chama kumpapatikia mtu. nadhani Kafulila akubaliwe Chadema iwapo atakuwa anaamini katika sera na misingi ya chama hicho, si tu kwa kuisema NCCR mageuzi. Pia, itakuwa ni dhambi ya Kisiasa kumkubali Mkosamali eti tu kwa sababu amekataliwa kugombea uenyekiti NCCR. Je, akiingia Chadema na kuutaka uenyekiti, atapewa ili asitoke?
   
 9. mpiganiahaki

  mpiganiahaki Senior Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Sio lazima kafulila arudi chadema, kumbuka alivyoondoka kwa dharau na kiburi, mi napendekeza kafulila kama anaipenda chadema kweli aombe radhi cdm na cdm isimpe nafasi yoyote ya uongozi kwa sasa, impe nafasi ya kuwa mwanachama tu.
  Kafulila toka amekuwa mbunge umaarufu wake jimboni umekuwa ukiporomoka kwa kasi sana kwani muda wote alikuwa akipanga mikakati yao na zitto, nimeongea na wafanyabiashara wengi tu wanao tokeo jimboni kwake na walinieleza kuwa kafulila amewabadilikia.
  Pia cdm ina hazina kubwa ya watu wenye uwezo wakutosha kugombea huo ubunge na sio lazima tumtumie huyo kafulila au huyo mgombea wa mwaka jana, kwanza kwa kufanya hivyo tutakuwa tunampa kichwa zaidi na hakika hataacha tabia zake uasi, bila kupata adhabu kidogo hatojifunza.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kifupi chadema inapaswa kuwa na makini sana hasa kuelekea uchaguzi mwakani.............
   
 11. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Duuh!/...tuongeze na kujaza mashibuda mengine tena?..Big Nooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo bwana,
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu kwanza habari ya jela, pili umeongea jambo la mbolea hapa
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Chadema anzeni mchakato haraka iwezekanavyo, kwanza mtumeni msomi mmoja afanye utafiti juu ya Mtazamo wa wananchi kigoma kusini baada ya Kafulila kufukuzwa, kisha mtajua mtu wa namna gani asimame. Hta hivyo kwa sasa CHADEMA ina faida moja tu ambayo niatiandikia thread kwa kirefu. Kwa sasa ni fahari kijijini kutundika bendera ya Chadema kuliko ile ya CCM hali ambayo haikuwepo kbal ya Miaka 7 iliyopita. Hadi watu wa kijijini wamebadilika. Tumieni fursa hiyo.
   
 14. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NCCR hawaiwezi CDM kwenye chaguzi ndogo. Labda Kijana wa kufulia aende CCM ndio ngoma itakuwa nZitto.
   
 15. k

  kipinduka Senior Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kafulila kuwa mpole na ikiwezekana rudi ccm kwan hata iweje ccm inaenda kuongeza jimbo hlo halina ubish cdm ni kanda ya kaskazin,mi naamin waha wapo makin sana na kuriludisha jimbo nyumban
   
 16. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Igunga, hapo CCM ipeleke majembe yake yote, Mwigulu, Nape, January na Lusinde aka kibajaji, jimbo linakwenda CCM.
   
 17. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Mwigulu na Lusinde nao majembe?

  Ajabu ya kufunga mwaka hii
   
 18. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Haya ndiyo Majembe ya kutegemewa na CCM! Wamekwisha!
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mabilioni ya pesa inaenda kuteketezwa tena kwenye kajimbo kamoja tu! Masikini Tanzania yangu!
   
 20. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni haohao watarudi na mbunge wa CCM kg
   
Loading...