Angalizo: Kama una vimeo vingi, kuwa makini kuanza na jina wakati unatuma meseji

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,730
2,388
Hili suala ni muhimu sn kwa wote, me & ke, kwa sababu unaweza ukaandika jina la X kumbe unatuma meseji kwa Y. Mwisho wa siku ikapelekea magomvi na kuvunjika mahusiano.
Kama kuacha vimeo ni kazi, basi ongeza umakini katika hili. Ni bora ukatuma yu meseji, hasa hizi tamu tamu, bila jina kwa sababu hata isipoenda kwa uliyekusudia, inakuwa kama umetupa jiwe gizani.
 
Pamoja sana mkuu kuendelea kututia dhambini badala utushauri tuache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom