orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,675
- 4,240
Kuanzia majira ya saa 12 jioni ya Leo maeneo ya msitu wa mlima Kilimanjaro umeonekana ukiwa na ishara ya kuwaka moto kutoka sehemu ya upande wa mashariki ukiwa unatizama mlima kutokea Moshi Mjini, hivyo kuonekana ukubwa wa moto kuongezeka kadri muda unavyozidi kwenda, inaonekana eneo lililoathirika na moto ni kubwa.
Nitoe rai kwa Serikali/hifadhi kuweza kuchukua hatua za haraka kudhibiti ueneaji wa moto huo kwa haraka kuanzia sasa kwakuwa kufikia kesho tatizo laweza kuwa kubwa zaidi hivyo kuathiri viumbe, maliasili na tabia nchi.
Ahsante