Engineer Hassan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 477
- 503
Wakuu naomba nitoe angalizo mapema hasa kwa wale ambao hawachelewi kutoa povu
Hawa wadogo zetu wa kidato cha sita wamemaliza pepa zao hivyo muwavumilie tu mpaka mwezi wa kumi watakapoenda vyuoni maana humu ndani watatujazia mada zisizokuwa na kichwa wala miguu kiasi kwamba mtu usiyeweza kujizuia hasira utakuwa kila siku mtu wa kulambwa ban maana kuna mada huwa zinakarahisha sana ukizisoma.
Tegemeeni mada za kutafuta wachumba humu zikijaa ,mada za tuliosoma PCM,PCB ECA,HKL etc tukutane hapa.
Tegemeeni mada za kushindanishwa vyuo humu zikijaa,etc.