Angalizo: Daraja la Buguruni zimewekwa chini nondo za MM12

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Waziri Husika

KUNA daraja linaendelea kujengwa pale buguruni...jaman chini KUNA nondo zimemwagwa za mm 12..loh embu chunguzeni kidogo jaman

Msijetutuaibu hata kama kubana
 
Who cares naona unataka kujitoa ufahamu, hata majengo mengine yaliyojengwa chini ya viwango yalifanyiwa kama unavyosema,, kwa hili haiwezekani na ni haki ya mtu mwenye ujuzi kuistua serikali yetu kwa masuala ya msingi yanayogusa maslahi mapana ya nchi
 
Aisee..!
Ila lile siyo daraja nafhani ni kiviko cha waenda kwa miguu tu hata hivyo sidhani kama watafanya hivyo mpaka baada ya nguzo kuanza kusimamishwa maana nimeona ile ni foundation tu!
 
Kama huko nyuma tulikosea tuendelee kukoseaa hauwezi weka daraja kama LA MANZESE KUUNGA UPANDE WA PILI KWA MM 12;;HUU N WIZII
Aisee..!
Ila lile siyo daraja nafhani ni kiviko cha waenda kwa miguu tu hata hivyo sidhani kama watafanya hivyo mpaka baada ya nguzo kuanza kusimamishwa maana nimeona ile ni foundation tu!
Foundation yankivuko mm 12 uko serious mkuu
 
Waziri Husika

KUNA daraja linaendelea kujengwa pale buguruni...jaman chini KUNA nondo zimemwagwa za mm 12..loh embu chunguzeni kidogo jaman

Msijetutuaibu hata kama kubana

Fanya utafiti wa kutosha, hizo 12mm hutumika kwenye ujenzi wa madaraja, haziwi peke yake, kama span ya daraja ni 7m na darajani ni box culvet basi utakuta beam zina combination ya y25, y20, y16, y12 na y10 za ring . Kwa daraja ambalo sii box abutment na wing walls zinatumika hizo pamoja na R10.
Mleta mada usikute mkandarasi bado ana mobilize material wewe umekuja mbio kuanzisha uzi huku.
 
MKANDARASI ANAFANYA KWA MUJIBU WA MICHORO ALIYOPEWA NA MUHANDISI MSHAURI....NA MUHANDISI MSHAURI AMEFANYA KWA MUJIBU WA UJUZI NA ELIMU NA UZOEFU KATIKA MASUALA YA UHANDISI WA MADARAJA....SIONI KOSA LA KUTUMIA Y12 AU HATA 6MM KAMA NDIVYO MICHORO NA DESIGN INAVYOTAKA.
Hivi hawa nao upatikanaji wao ni kama yule RAS na wanasheria wa jiji!?
Kama jibu ni ndio basi sioni ajabu maana ni sawa na kupanda maharage ukategemea mavuno ya njugu.
 
Kama huko nyuma tulikosea tuendelee kukoseaa hauwezi weka daraja kama LA MANZESE KUUNGA UPANDE WA PILI KWA MM 12;;HUU N WIZII

Foundation yankivuko mm 12 uko serious mkuu
Mimi mwenyewe sijui kama nipo serious au namna gani..!
 
Mleta mada umeleta jambo la msingi hata Kama sio fani yako lakini umetoa mow ngozi nzuri sana, lkn unakutana Na Watz wale wale wasiojielewa. Tumeona gorofa 16 linavunjwa Je lilikua Halina injinia?

Tunaomba wale wenye utaalam watusaidie ili tuepuke Na madhara hapo baadae, Na Kama hujui chochote Kama Mimi bora upite tu
 
mm 12 hata kufunikia shimo la choo haifai sembuse daraja.
Unakusudia daraja la watembea kwa miguu? Au daraja la kupitisha magari?

Kama la watembea kwa miguu ni sahihi kabisa. Majengo mengi karibu 90% na kuendelea slab ni milimita150 na nondo bottom one na bottom two ni milimita 12! Labda itokee kwa mara chache unalazimika kuweka slab ya 200mm na kuendelea. Kwanza mzigo wote wa slab huhamishwa na kubebwa na BEAMS ambapo baadae hubebwa na Nguzo hadi kwenye msingi! Milimita 16 na kuendelea zinaweza kutumika kwenye Ngazi, Slab ya kubeba tank za maji,Slab ya Genereta nk
 
Back
Top Bottom