Athy Sal JF-Expert Member Dec 23, 2012 507 339 Sep 24, 2016 #2 vollies said: View attachment 395014 Click to expand... Hahahaha, hii hatari!! Anavuna alichopanda!!
SupuyaPweza JF-Expert Member Oct 22, 2014 914 471 Sep 26, 2016 #6 tatizo ni tamthilia ikiwa imekolea na mr amebanwa na mkojo!... Wanawake saa ingine katili!?..
SupuyaPweza JF-Expert Member Oct 22, 2014 914 471 Sep 26, 2016 #7 Ladies, Mkipewa hela ya kununulia mchicha mkaila na nyinyi mfanyiwe nini?! Au mliwe ka mchicha?!...
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,364 94,542 Sep 26, 2016 #8 Hadi mwanamke akufanye hivo ulimchekea sana Mwanamke si mtu wa kumchekea sana na pia asiweze kukutabiri
Hadi mwanamke akufanye hivo ulimchekea sana Mwanamke si mtu wa kumchekea sana na pia asiweze kukutabiri
kimange JF-Expert Member Sep 14, 2016 1,340 1,296 Sep 26, 2016 #9 Daahhhh inabidi jamaa ajipange upya.... huo ni upumbavu
kanyela mumo JF-Expert Member Jun 16, 2016 2,034 2,106 Sep 26, 2016 #13 vollies said: Mmachame ni noma Click to expand... Acha kukalili mkuu sio wote.. Hizo story tu, hakuna watu wazuri kama wamachame, ila kama hujielewi ndio madhara yake hayo.
vollies said: Mmachame ni noma Click to expand... Acha kukalili mkuu sio wote.. Hizo story tu, hakuna watu wazuri kama wamachame, ila kama hujielewi ndio madhara yake hayo.
gentlemanx JF-Expert Member Jun 21, 2015 2,375 7,211 Sep 26, 2016 #14 vollies said: Mmachame ni noma Click to expand... Wamachame ndo wanatabia hyo??