Angalia wenzetu....what about us, what are we or can we be loyal for??!!!

kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,467
6,494
Americans are more loyal to their favorite soft drink, television show or car brand than they are to their employer, according to a joint Reuters/Ipsos poll.

But they are most committed to their country, followed by their family and their doctor.
"The most surprising thing was that country, which is more abstract, was No. 1, ahead of your family or spouse," said Timothy Keininghan, the author of the poll and a co-author of the book, "Why Loyalty Matters."

"There's a general belief that the government is broken, and people want to fix it," he said.
Seventy percent of Americans questioned in the survey said they are more loyal to their country now than they were two years ago.



Source: Reuters
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo kwa sisi watanzania ni kwamba tunakatishwa tamaa na watawala wa CCM ambao humkumbuka nyerere pale wananpozungumzia amani na utulivu lakini humsahau na hawamtaki kabisa pale linapokuja suala la kutenda haki kwa kila mtu na kujali maslahi ya umma.
 
Sielewi hapa unaezaje kuwa committed na kitu cha kufikirika kiitwacho 'taifa'? wacheni masikhara bana.
 
Nchi iliyo na system ya utawala wa kueleweka, unaoendeshwa kwa misingi ya kueleweka,.ni rahisi kusonga mbele kimaendeleo,achilia mbali propaganda za kutaka sifa.
Kila mwandamu ana hulka ya kuijali familia yake kwanza kuliko kitu kingine, huo ni ubinafsi wa asili alionao binadamu na kama haupo hivyo basi sio mzima kiakili. Yaliyobakia ni mengineyo.
Ili uweze kujiendesha wewe na familia yako uhahitaji ajira[uanasiasa,ualimu,biashara,n.k],na huko nako kuna sheria za kazi vile vile ambazo zinakubana,.serikali inaitumia fursa ya ajira yako ili kujipatia fedha za kujiendesha,na imeweka mitego ya kukunasa,na mingi huwa haikwepeki.
Asilimia kubwa ya wamarekani ni watu waliozoea kuendesha maisha yao kwa njia ya kukopa[credit life],ili waweze kukopesheka kazi ndio huwa mdhamini wa walio wengi.hivyo upende usipende lazima kazi inayokuingizia kipato[credi scores] utaiheshimu tu,tena kwa lazima.

Kuna msemo usemao , mwenye afya hamuitaji daktari,ni maarufu kwenye vitabu vingi vya dini.ni nani mwenye muda wa kupoteza kwenye kitu ambacho hakihitaji kwa kipindi hicho? Ni maumivu ndiyo yanayotufanya twende kutafuta tiba,kama hamna maumivu basi hamna ugonjwa,hiyo ni imani iliojengeka kwa wengi.[maumivu ya kimwili au kifikra].
 
Back
Top Bottom