Angalia wenzetu walivyo mbali

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,954
48,751
4b4959aa39407a05c10b46d2f72e0d4f.jpg

Kenya inakaribia kumpata jaji wao mkuu ambapo nafasi hiyo ya kazi ilitangazwa mwez uliopita watu zaidi ya 800 wakaomba !!
Sasa wamechujwa wamebaki majaji 6
Lazima apatikane mmoja kabla ya mwezi October

Hadi raha wenzetu kiasi wanapiga hata katika mambo ya kimfumo !
 
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?

Serikali imezoea kukopy na kupaste mkuu! Hata tozo jipya kwenye sector ya utalii waziri alikiri kuwa wameiga Kenya. Na hata bunge live tuliambia hata Uingereza hawaonyeshi live, so tuliiga kwao kutokuonyesha live!
Anything else?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
4b4959aa39407a05c10b46d2f72e0d4f.jpg

Kenya inakaribia kumpata jaji wao mkuu ambapo nafasi hiyo ya kazi ilitangazwa mwez uliopita watu zaidi ya 800 wakaomba !!
Sasa wamechujwa wamebaki majaji 6
Lazima apatikane mmoja kabla ya mwezi October

Hadi raha wenzetu kiasi wanapiga hata katika mambo ya kimfumo !

Tatizo lako ni low reasoning uliyo nayo unadanganywa na mambo madogo madogo kama hayo kwa taarifa yako tu hata huyu jaji aliyeondoka alipatikana kwa njia hiyo hiyo lkn bado anashutumiwa kumuibia ushindi Raisi Uhuru Kenya kama ni kweli au siyo kweli hilo ni swala lingine lkn ktk malalamiko ya Upinzani chini ya Raila Odinga ya kuibiwa kura ni chini ya jaji huyu huyu aliyepatikana kwa njia hiyo hiyo, hivyo itakuonyesha kwamba haijalishi jaji anapatikana vp mwisho wa siku ni Ufanisi ndiyo unamata!
 
Mkuu laila hakushinda uchaguzi wewe acha kudanganya watu hizi ni politics tu

Uhuru ndo alishinda na atashinda tena 2017
 
Lakini kwani jaji anaoji urais tu??
Kwani hakuna vitu zingine??
 
Mkuu laila hakushinda uchaguzi wewe acha kudanganya watu hizi ni politics tu

Uhuru ndo alishinda na atashinda tena 2017

Hakuna mahali niliposema Raila alishinda Uchaguzi, ila nimesmea Upinzani uliongozwa na Raila Odinga walilalamika kwamba wameibiwa kura, na huyu jaji aliyeondoka pia alikuwa sehemu ya lawama kwamba alisaidia uibiwaji wa kura, ndicho nilichokisema, sasa kama ni kweli au siyo kweli hili swala lingine lkln ukweli ni kwamba Wapinzani walikataa matokeo!
 
Mkuu nikueleweshe tu jaji amestaafu baada ya kufikisha umri kikatiba miaka 70
 
Tatizo lako ni low reasoning uliyo nayo unadanganywa na mambo madogo madogo kama hayo kwa taarifa yako tu hata huyu jaji aliyeondoka alipatikana kwa njia hiyo hiyo lkn bado anashutumiwa kumuibia ushindi Raisi Uhuru Kenya kama ni kweli au siyo kweli hilo ni swala lingine lkn ktk malalamiko ya Upinzani chini ya Raila Odinga ya kuibiwa kura ni chini ya jaji huyu huyu aliyepatikana kwa njia hiyo hiyo, hivyo itakuonyesha kwamba haijalishi jaji anapatikana vp mwisho wa siku ni Ufanisi ndiyo unamata!
Watu bwana,leo watu wanajichetua kwamba huo mfumo si lolote si chochote lakini siku ikitokea Mfalme wa nchi ya kufikirika naye akaamua kwamba tutumie huo mfumo,watu hao hao ndo watakuja humu kuusifia na kuonesha jinsi ulivyo na mafanikio.Kizazi cha laana!
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom