Angalia Wakenya zaidi ya 20 wanaishi kwenye daraja la juu, hatarishi, wailalamikia serikali

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,704
2,363
Wanailalamikia serikali, lakini maswali yakujiuliza ni haya

1. Choo kipo wapi?
2. Watoto wanacheza wapi?
3. Maji wanachota wapi?
4. Umeme?

Poleni sana majirani



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana Kenya kuna shida ya maisha sana, Naona ni athari za Ubepari.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kwenye nyuzi kama hizi huwezi waona, wanapita kimyakimya.. inasikitisha though kama binadamu wengine wanaishi maisha kama yale ya Mike sonko halafu wengine wanaishi hivi, Mungu anatuona kweli
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Back
Top Bottom