angalia vyuo vikuu vya wenzetu na ubunifu wao!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

angalia vyuo vikuu vya wenzetu na ubunifu wao!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rebel volcano, Sep 8, 2012.

 1. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hicho ni chuo kikuu kipo sehemu za munich germany,uongozi wa chuo hiko uliamua kuweka mitelezo kutoka gorofa ya 4-3 mpaka chini kama aina flani ya kufurahisha wanafunzi wa chuo hicho na kuwapunguzia mrorongo wa mawazo na uchofu wa masomo kwa upande,na kwa upande mwengine ni kurahisisha ushukaji!!!
  hata walimu nao rukhsa kuteleza!
   

  Attached Files:

 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Suruali na skirts zitachanika na kuchafuka ovyo, lift ndo mambo yote.
   
 3. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hapo suruali zinakoma, ni viraka mtindo mmoja si walimu si wanafunzi.
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwetu TKY tunaita Syelemuko.
   
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  sio kila ubunifu ni wa kuiga, mwingine hauna tija bali madhara.
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  tatizo hapa bongo ukiweka hii kitu HUKUTI MWANAFUNZI DARASANI.........
   
 7. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha dah
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  nimekumbuka std one miaka hiyo unapanda mlimani na tawi la mnazi unaserereka nalo hadi bondeni, hapo haichikui mwezi uniform kwisha habari yake.
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  jamani nguo zao sio ka zenu za thailand na indonesia
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wote wataenda kuserereka.
   
 11. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  napendaje vitu vya namna hii!
  Hapo raha yake waweke maji
  mnashuka na wet t-shirts darasani.
  Hahahahahaha
   
Loading...