Angalia Vizuri jamaa anavyostarehe halafu niambie anawaza nini

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,338
10478_315383801892264_1875831046_n.jpg

Huyu hapa
 
Anawaza kodi ya nyumba,mwenye nyumba anamsubiri waongee, hivyo anapanga uongo!!hahahaha!!
 
mirindimo una matatizo, sasa huyu jamaa alipigwa picha saa ngapi na chupi lake la winda, hapo hawazi ila anatoa kinyesi kigumu si unajua maharage yakiganda tumboni? jf bonge la starehe
 
Last edited by a moderator:
Jana kulioneshwa hapa choo chenye nyoka ndani. Pengine anawaza hilo.
 
Mze Yusuf nomaaaa. Hapa alikuwa anawaza amtungie nini Bibie Leila (mke wake). Kunya kuna starehe yake bwana asikudanganye mtu, zamani nilikuwa sielewi kwanini mtu akinya anakaa chooni hata saa nzima ila sasa, ahh mimi na choo tu tena naenda na lap top, najisaidia huku nasoma mambo ya dunia na kupata elimu dunia toka hapa JF. Kunya raha jamani....tufungue hii thread juu ya raha ya kunya, nawakilisha.
 
Back
Top Bottom