Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,721
- 21,778
Kamanda wapolisi Singida ametuacha hoi,ameanza kusimamisha madereva wa mabasi na kuwapima kama wamelewa.
Alipoulizwa kwanini wawapime mwezi huu na sio siku zote ati mwezi huu vijana wengi wanaweka pombe kwenye chupa ya maji kumbe viroba.
Hivi wakuu na ID makamanda wa polisi wengine hivi vifo vya ajali majuzi hamkuviona mpaka mnakuja kujionesha xmass?
Angalizo
Soon utawaona sumatra pale stand ya mkoa na polisi wakikagua mabasi na bei kama vile miezi mingine tunaruhusiwa kufa jamani,kwanini wasikague kila siku?
Pombe ziko kila siku why upime Disemba tu tena unajibu mwezi huu madereva wengi sikukuu wanakuwa wamelewa.