Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

Van De Beek

JF-Expert Member
Sep 9, 2017
1,442
2,000
Kale Kamtu nikapumbavu Kweli kweli
Kanapenda Kujiona Kapo juu kajuaji
na Misifa ya kujiona ndio Kenye Data za ndani kumbe Ugolo tu
Bwana Priva najua upo humu umemsikia zuwena Anachosema?......
Ukiona hadi mwana dada amekuona wewe si chochote kwenye mpira, Jitafakari.
Bwana priva jitafakari sana.
 
Insigne

JF-Expert Member
Jul 3, 2021
2,090
2,000
Hizo za ndege kwa hapa Africa ni changamoto ,unaweza ukakuta wakitoka Botswana transit ni mpaka Ethiopia
Ndege yako mwenyewe uliokodi haina transit mkuu, hiyo huwa inatokea kwa mfano usafiri wa hapa kwenda Congo kwa kipindi cha nyuma kulikuwa hakuna mpaka hapo juzi shirika lilipo ongeza route ya Kinshasa

Kwahyo ilikuwa lazima uende kwanza hadi Ethiopia ndio upate ndege ya kwenda congo

Ila ukiwa na ndege yako na hauna mpango wa kupitia sehemu basi hapo ni moja kwa moja
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,114
2,000
Huwa anakurupuka sana kuongea vitu ambavyo havijui siku hizi ukijua tu position za wachezaji uwanjani unakuwa mchambuzi kama yule Prisca anajua nini zaidi ya kundandia vitu kwa juu, na sio yeye tu wapo wengi sana wamejificha kwenye kichaka cha wachambuzi.
Mimi huwa nawasikiliza tu nasema hawa mafamba kama sio connection hawapati kazi hata kwenye redio/tv ya kijijini.

Yani washamba hawajui kitu kabisa yani.
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,920
2,000
Kwanza changamoto za usafiri wa ndege huwa ni kwa safari za nje ya nchi ambako shirika halina ndege inayoenda katika nchi hiyo,

Na usafiri wa ndege kwa ndani ya nchi hakuna changamoto ya namna hiyo kwasababu nowdays ndege zinatua katika viwanja vingi huko mikoani

Kwa kutambua changamoto hiyo timu ya simba kwanini iliingia mkataba na ATCL kwa safari za ndani ambazo hakuna changamoto na kuziacha safari za nje zenye changamoto kibao

Mtu mwenye akili timamu ninahoji kuna umuhimu gani wa simba kuingia mkataba huo na ATCL na wakati safari za nje zinawasumbua?
Yanga ilienda na ATCL Nigeria, Simba inashindwaje kwenda Botswana?
 
Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
384
1,000
Tatizo priva hana msimamo
Msikilize mwanzo mwisho akiongea lazima atoe boko ,halafu ni mtu wa kuruka na tetesi na kuongeza chumvi ni sawa kuongelea tetesi lakini tatizo nyingi anazosema huwa inakuwa si kama ilivyo yeye anakurupuka tu,halafu sometimes hata wenzake kama wanaingilia maongezi ili asirukie ambacho Hana uhakika but utakuta anakazania
 
Insigne

JF-Expert Member
Jul 3, 2021
2,090
2,000
Msikilize mwanzo mwisho akiongea lazima atoe boko ,halafu ni mtu wa kuruka na tetesi na kuongeza chumvi ni sawa kuongelea tetesi lakini tatizo nyingi anazosema huwa inakuwa si kama ilivyo yeye anakurupuka tu,halafu sometimes hata wenzake kama wanaingilia maongezi ili asirukie ambacho Hana uhakika but utakuta anakazania
Sema now kila mtandao unamwandama
Daaaah
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,034
2,000
Kwanza changamoto za usafiri wa ndege huwa ni kwa safari za nje ya nchi ambako shirika halina ndege inayoenda katika nchi hiyo,

Na usafiri wa ndege kwa ndani ya nchi hakuna changamoto ya namna hiyo kwasababu nowdays ndege zinatua katika viwanja vingi huko mikoani

Kwa kutambua changamoto hiyo timu ya simba kwanini iliingia mkataba na ATCL kwa safari za ndani ambazo hakuna changamoto na kuziacha safari za nje zenye changamoto kibao

Mtu mwenye akili timamu ninahoji kuna umuhimu gani wa simba kuingia mkataba huo na ATCL na wakati safari za nje zinawasumbua?
Mimi Ni yanga lakini lazima waandishi waelewe kuwa safari za ndege Africa zinasumbua
Kwanza changamoto za usafiri wa ndege huwa ni kwa safari za nje ya nchi ambako shirika halina ndege inayoenda katika nchi hiyo,

Na usafiri wa ndege kwa ndani ya nchi hakuna changamoto ya namna hiyo kwasababu nowdays ndege zinatua katika viwanja vingi huko mikoani

Kwa kutambua changamoto hiyo timu ya simba kwanini iliingia mkataba na ATCL kwa safari za ndani ambazo hakuna changamoto na kuziacha safari za nje zenye changamoto kibao

Mtu mwenye akili timamu ninahoji kuna umuhimu gani wa simba kuingia mkataba huo na ATCL na wakati safari za nje zinawasumbua?
Flight za ndege za kiafrica zinasumbua Sana we unaenda Botswana kwa kupitia South Africa?
 
KUCH KUCH

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,080
2,000
Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari kwamba simba imeshindwa kulipa mishahara miezi 2 kumbe ni wewe uliandika upupu kwenya gazeti huko sijui dimba lile

Sasa embu jitafakari basi, angalia jinsi ulivyo report hii habari ya simba kuingia mkataba wa ndani na Atcl halafu post nyingine unashangaa mkataba umekuwaje tena mkataba hauitimiizii simba kwenda Botswana, hujui kwamba Botswan siyo ndani ya nchi hii?

View attachment 1973913
Kumbe issue zenu za kikabila
 
ngumbuke

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
391
500
Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari kwamba simba imeshindwa kulipa mishahara miezi 2 kumbe ni wewe uliandika upupu kwenya gazeti huko sijui dimba lile

Sasa embu jitafakari basi, angalia jinsi ulivyo report hii habari ya simba kuingia mkataba wa ndani na Atcl halafu post nyingine unashangaa mkataba umekuwaje tena mkataba hauitimiizii simba kwenda Botswana, hujui kwamba Botswan siyo ndani ya nchi hii?

View attachment 1973913
GENTAAAAAAAAA!
Njoo huku uwaone waandishi wa habari wa siku hizi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom