Angalia tofauti ya Wageni wa Puerto Rico wakiitwa Hekaluni mwa Bwana na wale wengineo wa nchi zingine hapa duniani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Wageni wa Puerto Rico wakiitwa Hekaluni mwa Bwana na kupewa muda wa Kuzungumza malalamiko yao utawasikia wakisema haya:

" Shikamoo Baba endelea hivyo hivyo uko vyema "
" Shikamoo Baba hakuna kama Wewe hapa Puerto Rico "
" Shikamoo Baba hakuna tatizo na nimeipenda mno Suti yako "
" Shikamoo Baba yaani unatupenda hadi tunakuona Messiah mpya "
" Shikamoo Baba yaani nikikuona Wewe tu namuona Yesu Kristo "
" Shikamoo Baba wasikudanganye wala hakuna tatizo na nchi iko vizuri na unapendwa kuliko hata Mungu "

Wageni wa nchi zingine wakiitwa Hekaluni mwa Bwana na kupewa muda wa Kuzungumza malalamiko yao utawasikia wote wakisema haya:

" Oya acha Kutuzingua sawa? "
" Tutakuachia nchi halafu ikushinde "
" Watu tuna njaa halafu unaleta za kuleta hapa "
" Na tunapoongea hapa usitupangie cha Kuongea wala Kutuamrisha sawa? "
" Nisikufiche huko nje umechokwa kabisa "
" Kwahiyo unadhani kutuita hapa Hekaluni ndiyo tutakuogoa au? Tunakupa makavu hapa hapa "
" Wewe ungefanyiwa yote haya ungefurahi? Hivi Wewe ni Binadamu mwenzetu au? "

Nawasilisha.
 
Wageni wa Puerto Rico wakiitwa Hekaluni mwa Bwana na kupewa muda wa Kuzungumza malalamiko yao utawasikia wakisema haya:

" Shikamoo Baba endelea hivyo hivyo uko vyema "
" Shikamoo Baba hakuna kama Wewe hapa Puerto Rico "
" Shikamoo Baba hakuna tatizo na nimeipenda mno Suti yako "
" Shikamoo Baba yaani unatupenda hadi tunakuona Messiah mpya "

Wageni wa nchi zingine wakiitwa Hekaluni mwa Bwana na kupewa muda wa Kuzungumza malalamiko yao utawasikia wote wakisema haya:

" Oya acha Kutuzingua sawa? "
" Tutakuachia nchi halafu ikushinde "
" Watu tuna njaa halafu unaleta za kuleta hapa "
" Na tunapoongea hapa usitupangie cha Kuongea wala Kutuamrisha sawa? "
" Nisikufiche huko nje umechokwa kabisa "
Taifa limejaa wajinga unategemea nini??? Hata huyo baba ni jinga kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Oya acha Kutuzingua sawa? "
" Tutakuachia nchi halafu ikushinde "
" Watu tuna njaa halafu unaleta za kuleta hapa "
" Na tunapoongea hapa usitupangie cha Kuongea wala Kutuamrisha sawa? "
" Nisikufiche huko nje umechokwa kabisa "
Vladimir Putin au Xi - Jiping..?
 
Hahahahaha Mkuu Genta naona kikokotozi kimegota ugokoni..

Unawaona lakini Wageni waalikwa wa Hekaluni mwa Bwana Puerto Rico wanavyotiririka na kuserereka mubashara kabisa? Vipi huko Nyumbani Tanzania hawajambo lakini? Rais wenu Magufuli anakubalika sana hapa Kwetu nilipo Kisiwani Puerto Rico na tunatamani Siku moja aje hata awe Rais wetu wa Siku tatu tu. Ilikuwa nije Tanzania Krismasi na Mwaka Mpya hii ila nimekosa Nauli labda Valentine Day au Pasaka naweza kuja huko kwani nimekumbuka sana Nyumbani Tanzania.
 
Uwaona lakini Wageni waalikwa wa Hekaluni mwa Bwana Puerto Rico wanavyotiririka na kuserereka mubashara kabisa? Vipi huko Nyumbani Tanzania hawajambo lakini? Rais wenu Magufuli anakubalika sana hapa Kwetu nilipo Kisiwani Puerto Rico na tunatamani Siku moja aje hata awe Rais wetu wa Siku tatu tu. Ilikuwa nije Tanzania Krismasi na Mwaka Mpya hii ila nimekosa Nauli labda Valentine Day au Pasaka naweza kuja huko kwani nimekumbuka sana Nyumbani Tanzania.
Tunampa pongezi na sifa bwelele kwa kazi kubwa anayofanya, pia tunashauri kikokotoo kipungue mpaka 10%..

Korosho tuliwahaidi wakulima tutanunua mwenyewe kwa 3,300 na haraka sana malipo yote yamefanyika na wakulima wananywesha mbuzi soda muda huu. Kikokotoo tutapandisha mpaka asilimia 80 na mstaafu atalipwa mara moja pindi akistaafu, Pesa tunazo!!
 
Mkuu mbona hapa sikuelewi? Huku Kwetu Puerto Rico hakuna haya mambo / maelezo yako uliyoyaandika hapa. au labda umekosea / umekengeuka?
 
naijatwittersavages-20181225-0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawaona lakini Wageni waalikwa wa Hekaluni mwa Bwana Puerto Rico wanavyotiririka na kuserereka mubashara kabisa? Vipi huko Nyumbani Tanzania hawajambo lakini? Rais wenu Magufuli anakubalika sana hapa Kwetu nilipo Kisiwani Puerto Rico na tunatamani Siku moja aje hata awe Rais wetu wa Siku tatu tu. Ilikuwa nije Tanzania Krismasi na Mwaka Mpya hii ila nimekosa Nauli labda Valentine Day au Pasaka naweza kuja huko kwani nimekumbuka sana Nyumbani Tanzania.
Leo nimeshangaa mpaka nikapaliwa na mate; Wageni wale wakaimba wimbo maarufu wa "Tuna imani na Mfalme"!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom