GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,379
- 108,432
Majina yaliyomo katika Simu za Wazungu wengi ni kama haya.....
1. Doctor Israel
2. Advocate United Kingdom
3. Engineer Germany
4. Accountant Sweden
5. Pilot Canada
6. Architecture France
7. Judge United States
Majina yaliyomo katika Simu za Waswahili kibao ni kama haya.....
1. Mafichoni Guest House
2. Kiranja wa Majungu
3. Umalaya Kipaji
4. Kuoga Majaliwa
5. Bingwa wa Kujamba
6. Aliyerogezewa Mbunye
7. Kikwapa Uvundo
Mengine na Wewe unaweza ukayaongezea ila Mimi leo nimekutana na hayo na nikagundua ni kwanini Wazungu wametuacha na bado tu wanazidi Kutuacha Kimaendeleo na hata Kiakili kama pia siyo Kimtizamo na kwamba Waafrika ( hasa Waswahili / Watanzania ) bado wana safari ndefu ya kuwakaribia japo siyo kuwafikia.
Nawasilisha.