Angalia tofauti Kubwa na ya Kimantiki kabisa ya Majina ' yaliyoseviwa ' katika Simu za Wazungu na Waswahili ( Watanzania )

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,362
108,398
Majina yaliyomo katika Simu za Wazungu wengi ni kama haya.....

1. Doctor Israel
2. Advocate United Kingdom
3. Engineer Germany
4. Accountant Sweden
5. Pilot Canada
6. Architecture France
7. Judge United States

Majina yaliyomo katika Simu za Waswahili kibao ni kama haya.....

1. Mafichoni Guest House
2. Kiranja wa Majungu
3. Umalaya Kipaji
4. Kuoga Majaliwa
5. Bingwa wa Kujamba
6. Aliyerogezewa Mbunye
7. Kikwapa Uvundo

Mengine na Wewe unaweza ukayaongezea ila Mimi leo nimekutana na hayo na nikagundua ni kwanini Wazungu wametuacha na bado tu wanazidi Kutuacha Kimaendeleo na hata Kiakili kama pia siyo Kimtizamo na kwamba Waafrika ( hasa Waswahili / Watanzania ) bado wana safari ndefu ya kuwakaribia japo siyo kuwafikia.

Nawasilisha.
 
7. Judge Italy

Niwewe ndio umeandika hivi? Au umetekwa na bashite
 
A=plumber
Electric engineer
Food store
Headmaster
B=bodaboda
Muuza uji
Mishentown
M/kiti wa kamati.
Mama vitumbua.
 
Majina yaliyomo katika Simu za Wazungu wengi ni kama haya.....

1. Doctor Israel
2. Advocate United Kingdom
3. Engineer Germany
4. Accountant Sweden
5. Pilot Canada
6. Architecture France
7. Judge United States

Majina yaliyomo katika Simu za Waswahili kibao ni kama haya.....

1. Mafichoni Guest House
2. Kiranja wa Majungu
3. Umalaya Kipaji
4. Kuoga Majaliwa
5. Bingwa wa Kujamba
6. Aliyerogezewa Mbunye
7. Kikwapa Uvundo

Mengine na Wewe unaweza ukayaongezea ila Mimi leo nimekutana na hayo na nikagundua ni kwanini Wazungu wametuacha na bado tu wanazidi Kutuacha Kimaendeleo na hata Kiakili kama pia siyo Kimtizamo na kwamba Waafrika ( hasa Waswahili / Watanzania ) bado wana safari ndefu ya kuwakaribia japo siyo kuwafikia.

Nawasilisha.
stereotyping, sisi waswahili na hatuna majina hayo ya hivyo kwenye simu
 
Sio kila mzungu,ni matawi kama Trump,wala si kila mswahili,ni hoe hae,wapo wakina Mo,Dewji
 
Majina yaliyomo katika Simu za Wazungu wengi ni kama haya.....

1. Doctor Israel
2. Advocate United Kingdom
3. Engineer Germany
4. Accountant Sweden
5. Pilot Canada
6. Architecture France
7. Judge United States

Majina yaliyomo katika Simu za Waswahili kibao ni kama haya.....

1. Mafichoni Guest House
2. Kiranja wa Majungu
3. Umalaya Kipaji
4. Kuoga Majaliwa
5. Bingwa wa Kujamba
6. Aliyerogezewa Mbunye
7. Kikwapa Uvundo

Mengine na Wewe unaweza ukayaongezea ila Mimi leo nimekutana na hayo na nikagundua ni kwanini Wazungu wametuacha na bado tu wanazidi Kutuacha Kimaendeleo na hata Kiakili kama pia siyo Kimtizamo na kwamba Waafrika ( hasa Waswahili / Watanzania ) bado wana safari ndefu ya kuwakaribia japo siyo kuwafikia.

Nawasilisha.
Umesahau majina ya wachoma na nyama na kiti moto; hatutaki shida tunatoa oda tukiwa ofisini tukifika ni kula tuu
 
Kweli kabisa hata mimi zero IQ nilishaona, wenyewe wajali sana hapo kwenye jina kuna contact zote.
GENTAMYCINE vipi IQ yangu imeanza kupanda?
 
Back
Top Bottom