Angalia tofauti Kubwa na ya Kimantiki kabisa ya Majina ' yaliyoseviwa ' katika Simu za Wazungu na Waswahili ( Watanzania )

Hahahaaaa unajua wewe jamaa nachekaga sana koment zako zimekaa kibabe sana. Kwahiyo hutak mazoea siyo
Jamaa anapenda kila akiweka uzi basi watu wamuunge mkono atakavyo yeye, ukimsifia basi anakupa High IQ
 
Mleta mada bwana, hiki nini sasa? Kama wewe "mswahili" una majina hayo kwenye simu yako unadhani kila mtu anayo?
 
Back
Top Bottom