Angalia rank ya Chuo alichosoma mwanao/nduguyo halafu jiulize kwanini hana ajira

Wewe umechukua idadi ya vyuo vikuu vilivyopo nchini ukageuza kuwa rank ya vyuo, swaini wewe.
 
Kwenye orodha yako vipo 50 ila ni maendeleo tu.Mleta hoja je?kuna tofaut yoyote kati ya international na university?
 
Mbona graduates wengi tu wa UDSM hawana ajira na nearly wote wa Muhimbili wana ajira
 
Ukweli sikubaliani na hili, kwanza kabisa kwa upande wa sheria chuo cha kwanza ni mzumbe ndiyo vingine vinafuata, kwa upande wa fedha ni IFM ndiyo unaziona TIA na vingine kwa upande wa afya lazima uanze na mhimbili university elimu Udsm, Saut, udom na kuendelea. Sayansi Must wako vizuri ila naona umeorodhesha tu siyo kurank kutokana na ubora.
 
Back
Top Bottom