Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Nov 17, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,376
  Likes Received: 4,222
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  UMATI wa watu wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam , wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke.
  [​IMG]
  P0LICE wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Temeke
  [​IMG]

  [​IMG]
  Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
  [​IMG]
  Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao
  [​IMG]

   
 2. andate

  andate JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi hii issue ilikuwa ni ya ukweli?
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Namwona jirani yangu yupo hapoo kaaa:glasses-nerdy:aaaa
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,376
  Likes Received: 4,222
  Trophy Points: 280
  HII NDIO A-Z YA WAGONI WALIOGANDANA!!


  [​IMG]


  LILE tukio la madai ya wanandoa kusaliti ndoa zao kwa kwenda kuzini gesti na hatimaye kugandana, bado linaendelea kuumiza vichwa vya baadhi ya Wabongo kuhusu ukweli wake, Ijumaa Wikienda lina mpya.
  Bibi kizee aliyefika eneo la tukio kwa lengo la kuwanasua wapenzi walionasa
  Novemba 8, mwaka huu, saa 5 asubuhi, umati wa wakazi wa Jiji la Dar ulifurika kwenye Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Temeke kushuhudia tukio hilo.
  Mapaparazi wetu walifika eneo la tukio ambapo dada mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Margret alithibitisha kuwaona wagoni hao wakishushwa kwenye gari aina ya Canter huku wamefunikwa shuka moja jeupe.
  Aidha, gazeti hili lilimshuhudia bibi kizee aliyefika eneo hilo na kusema hilo ni tego ambalo analifahamu na kuwahi kulishuhudia mara kadhaa katika mikoa ya kusini mwa Tanzania.
  Mchei Guest House ambapo wawili hao wanapodaiwa kunasiana.
  Akilipa ushuhuda gazeti hili, bibi kizee huyo aliyekataa kutaja jina lake, alisema yeye alifika eneo la tukio lengo likiwa ni kuwanasua wawili hao lakini alisikitika akisema alinyimwa ushirikiano.

  Bibi huyo aliyetokea Tanga, anayekadiriwa kuwa na zaidi ya miaka 75, alisisitiza kuwa, tukio hilo ni la kweli na kusema hata waliosema wameshuhudia walishindwa kulifuatilia vizuri kwa sababu suala lenyewe lilikuwa na mazingara ndani yake.
  Alisema aliyeliona mwanzo lilimpotea katika hali ya kimazingara kutokana na macho yake kutokuwa na uwezo wa kuona zaidi ya alichoanza kukiona awali.
  "Hapa Dar es Salaam, dhambi ya zinaa imezidi sana. Mungu ameamua kuonesha miujiza yake," alisema bibi huyo akiwa na dawa zake mkononi.


  Margret aliyedai kuwaona wagoni hao wakishushwa kwenye gari aina ya Canter huku wamefunikwa shuka moja jeupe.
  Naye Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Amani Malima alipohojiwa, alikanusha kutokea kwa tukio hilo.
  Baada ya hapo, mapaparazi wetu walifika kwenye Gesti ya Mchei inakodaiwa ndiyo kulitokea tukio hilo na kuzungumza na mhudumu wa mapokezi, Masha Abdallah ambaye alikanusha tukio hilo kutokea.
  Mmiliki wa gesti hiyo, Salmada Mchei naye alisema tukio hilo halijatokea na anashangaa uvumi huo umeanzishwa na nani.
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,376
  Likes Received: 4,222
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 6. S

  Swat JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 4,171
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Mbona hapo hospital simuoni hata mmoja wa hao walionasana? Na vyombo vyote vya habari havijapata kuwaonyesha watu hao wakiwa wamenasiana!:confused2:
  :confused2:Naona kundi la watu wasiojitambua na wanaochezea muda wao wa kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yao! Wengine hapo hata hawajui jioni ya siku hiyo watakula nini!. Mchawi aliyetuloga watanzania ameshafariki na ni kama mganga anayetakiwa kutuponya nae yupo wodi ya mahututi.
   
 7. dunia tunapita

  dunia tunapita JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mh!!! picha zao mbona hatuzioni wa tmk?
   
Loading...