Angalia picha hii halafu tafakari!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Maisha Bora kwa kila Mtanzania.jpg Huyu ndie tunamtegemea kua kiongozi wa kesho akishamailza shule! Kweli tutaboresha shule zetu kua na kiwango chenye hadhi kama vile vitabu/madawati na mazingira bora ya kujisomea? Tafakari sana!
 
What is the problem.Naona yuko home anafanya homework.Au ndio yuko shuleni????????Sijakupata vizuri.
 
Walioko madarakani wanawafundisha hawa wajue kusoma na kuandika tu ili wawapigie kura watoto wao wanaosoma Uzunguni..
 
we mwehu yaani hapo huoni problem mtoto yupo kwenye darasa lina kuta za nyasi, paa la nyasi ubao wenyewe magumashi afu unauliza whats the problem??lazima mwehu wewe si bure..
 
Mbona hizo ni shule zetu! Nakumbuka mimi nimesoma shule dawati anakalia mwalimu tuu! Na madirisha hakuna! Ni baridi kwenda mbela nashukuru mkapa aliboresha sana skuli yangu ile!
 
Hapo umenena maana wakitoka Ulaya wanakuja wanagombea ubunge na watoto wa st Kayumba huwa wapambe wao kwa kupewa t shirt na kofia
 
we mwehu yaani hapo huoni problem mtoto yupo kwenye darasa lina kuta za nyasi, paa la nyasi ubao wenyewe magumashi afu unauliza whats the problem??lazima mwehu wewe si bure..

Asante sana BOB GIZA!:whoo:
 
we mwehu yaani hapo huoni problem mtoto yupo kwenye darasa lina kuta za nyasi, paa la nyasi ubao wenyewe magumashi afu unauliza whats the problem??lazima mwehu wewe si bure..
Mmmm, alikuwa anachunga mbuzi maeneo jirani na shule ikabidi akashangae wazungu waliofika kutafuta MVC wakamwambia aandike jina lake ubaoni
 
Mbona hizo ni shule zetu! Nakumbuka mimi nimesoma shule dawati anakalia mwalimu tuu! Na madirisha hakuna! Ni baridi kwenda mbela nashukuru mkapa aliboresha sana skuli yangu ile!

iLIKUWA JELA AU!!
 
dah yaani dogo kachoka mbaya! halaf hapo akchemsha nambari analambwa makwaju. Afrika bana!
 
Back
Top Bottom