What is the problem.Naona yuko home anafanya homework.Au ndio yuko shuleni????????Sijakupata vizuri.
Walioko madarakani wanawafundisha hawa wajue kusoma na kuandika tu ili wawapigie kura watoto wao wanaosoma Uzunguni..
Mmmm, alikuwa anachunga mbuzi maeneo jirani na shule ikabidi akashangae wazungu waliofika kutafuta MVC wakamwambia aandike jina lake ubaoniwe mwehu yaani hapo huoni problem mtoto yupo kwenye darasa lina kuta za nyasi, paa la nyasi ubao wenyewe magumashi afu unauliza whats the problem??lazima mwehu wewe si bure..
Mbona hizo ni shule zetu! Nakumbuka mimi nimesoma shule dawati anakalia mwalimu tuu! Na madirisha hakuna! Ni baridi kwenda mbela nashukuru mkapa aliboresha sana skuli yangu ile!