Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Cristiano Ronaldo moja kati ya wachezaji soka Ghali zaidi duniani ameonekana akiwa anapakwa mafuta na mama yake mzazi pande za kisiwa cha Ibiza Spain Ambacho kipo ndani ya bahari ya Mediterrania nchini Hispania.
Kisiwa cha Ibiza
Mama yake na Ronaldo alionekana akimpaka star huyo wa soka mafuta hasa kwenye mguu ambao uliumia wakati wa Euro nchini Ufaransa. kama inavyoonekana katika picha hapa chini.