Angalia mfano wa jinsi rada za Syria zimekua zikizimwa na jeshi la Israel

Wewe uliyetathimini haya tuambie hzo air violations za Israel kwa Lebanon na Syria kama ni halali maana naona unashadadia ungese ,yani Kenya iwe inapitisha ndege vita zake anga la Tanzania wakienda kupiga Rwanda halafu wewe unasifia pathetic
Alieleta uzi nadhani aliambiwa israel ni taifa teule la bwana nae akaamini hivyo bila kuchekecha bongo yake
 
A little knowledges it's always dangerous....nenda kajipange upya alafu uje na uzi wa maana...kama vile why Palestinian are suffering under the fake Jews accupations...why Israel are are cos trouble in the world .. Lakini sio ushabiki maandazi kama wa profesa lipumba vile.. Plzzzzzzz
 
Fakes news ama ni uwongo mtupu... Why Israel are they using Lebanon airspace to attack Syria.. Kama wanaume kweli waingie bac Syria airspace...kajipange upya uje na uzi wa maana sio ushabiki maandazi kama wa profesa lipumba
Hujaeleweka hapa yaani anakuwa kwenye anga ya lebanon afu anaishambulia syria how?
 
Tumeshuhudia jeshi la Israel likifanya mashambulizi kadhaa ndani ya nchi ya Syria katika operation tofauti tofauti kama vile kuharibu silaha za zinazohofiwa kusafirishwa kwa Hezbollah, kuharibu kinu cha nyuklia cha Syria mwaka 2007(operation Orchard), nk.

Katika operesheni hizo tumeshuhudia mara nyingi jeshi la Syria likitoa taarifa kwamba limefanikiwa kudungua ndege za Israel na baadae taarifa hizo kukanushwa na jeshi la Israel (IDF) kwamba hakuna ndege yao hata moja iliyopata matatizo.

Pia tumeshuhudia jeshi la anga la Syria kurushia makombora mengi ndege za Israel bila mafanikio ya kuzitungua, huku ndege hizo zikiwa kwenye operation zake kadhaa.

Video hii inaelezea jinsi mifumo ya Israel inavyoweza kuJam rada za adui au kuzipa signal za uongo na kuona kwamba wamefanikiwa kutungua ndege zao kumbe ni kinyume chake.
Pia inaelezea namna ambavyo mifumo hiyo imekua ikielekeza makombora hayo mahali pengine kabisa na zilipo ndege zao kama tulivyoshudia miezi kadhaa iliyopita makombora ya kutungulia ndege ya Syria yakirushwa kwa wingi bila mafanikio yoyote ya kutungua ndege za jeshi la Israel.

Waende wakashambulie vinu vya Kim, mbona wanamuogopa na alishawatishia maisha yao wakaufyata?
North Korea threatens Israel with 'merciless, thousand-fold punishment'
 
Tumeshuhudia jeshi la Israel likifanya mashambulizi kadhaa ndani ya nchi ya Syria katika operation tofauti tofauti kama vile kuharibu silaha za zinazohofiwa kusafirishwa kwa Hezbollah, kuharibu kinu cha nyuklia cha Syria mwaka 2007(operation Orchard), nk.

Katika operesheni hizo tumeshuhudia mara nyingi jeshi la Syria likitoa taarifa kwamba limefanikiwa kudungua ndege za Israel na baadae taarifa hizo kukanushwa na jeshi la Israel (IDF) kwamba hakuna ndege yao hata moja iliyopata matatizo.

Pia tumeshuhudia jeshi la anga la Syria kurushia makombora mengi ndege za Israel bila mafanikio ya kuzitungua, huku ndege hizo zikiwa kwenye operation zake kadhaa.

Video hii inaelezea jinsi mifumo ya Israel inavyoweza kuJam rada za adui au kuzipa signal za uongo na kuona kwamba wamefanikiwa kutungua ndege zao kumbe ni kinyume chake.
Pia inaelezea namna ambavyo mifumo hiyo imekua ikielekeza makombora hayo mahali pengine kabisa na zilipo ndege zao kama tulivyoshudia miezi kadhaa iliyopita makombora ya kutungulia ndege ya Syria yakirushwa kwa wingi bila mafanikio yoyote ya kutungua ndege za jeshi la Israel.

hata sijaelewa zaidi ya kuona kama GAME za watoto tu.
 
afu unacomment kwa akili ndogo sana

hayo hapo President Samuel Doe kipindi anafanya yake alikuwa analindwa na masoja na alikuwa anawatuma haohao masoja kufanyizia watu. Lakin hapo kwenye video wanamfanyaje!!

Habari?. Baada ya kuangalia hii video kiukweli nmepata maswali mengi sana lkn baadhi ni haya kama kuna MTU anayajua anisaidie:
1. Huyu Samuel Mdoe alifanya nini mpaka apate mateso hayo?
2. Hao na wanajeshi au waasi kama wale wa Libya?
3. Hayo alitendewa akiwa madarakan au baada ya kuondoka?
4. Huyo anaepepewa kama Dr Shika nina?
5. Mdoe bado yupo hai au alishafariki?
Asante
 
afu unacomment kwa akili ndogo sana

hayo hapo President Samuel Doe kipindi anafanya yake alikuwa analindwa na masoja na alikuwa anawatuma haohao masoja kufanyizia watu. Lakin hapo kwenye video wanamfanyaje!!

Habari?. Baada ya kuangalia hii video kiukweli nmepata maswali mengi sana lkn baadhi ni haya kama kuna MTU anayajua anisaidie:
1. Huyu Samuel Doe alifanya nini mpaka apate mateso hayo?
2. Hao na wanajeshi au waasi kama wale wa Libya?
3. Hayo alitendewa akiwa madarakan au baada ya kuondoka?
4. Huyo anaepepewa kama Dr Shika nina?
5. Doe bado yupo hai au alishafariki?
Asante
 
Back
Top Bottom