Angalia kwa Umakini Majina Haya, Kisha Tafuta Rais Mtarajiwa kwa Tiketi ya CCM

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Mpaka Sasa hawa ndio waliojitokeza Kutia Nia kwa Tiketi ya CCM
1:Dk Gharib Bilal Makamu Wa Rais
2:Mizengo Pinda -Waziri Mkuu
3:Steven Masatu Wasira- Waziri Mwandamizi-Kilimo Na Chakula
4:Mark Mwandosya -Waziri Mwandamizi wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalumu
5:Samwel Sitta Waziri Mwandamizi-Waziri Wa Uchukuzi
7:Fredrick Sumaye Waziri Mkuu Mstaafu
8:Edward Ngaoyai Lowasa Waziri Mkuu aliyejiuzuru
6:Benard Membe Waziri Ushirkiano Kimataifa
9:Lazaro Nyarandu Waziri Maliasili Na Utalii
10:Mwigulu Nchemba Waziri Naibu Fedha
11:Dk John Pombe Magufuri Waziri Ujenzi
12:Mathis Chikawe Waziri Wa mambo Ya Ndani Ya Nchi
13:DK Titus Kamani Waziri Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,
14:January Makamba Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia,
15:Dk Asharose Migiro Waziri Wa sheria Na Katiba
16:Dk Hassy Kitine Kada Mkongwwe wa CCM
17:Balozi Dk Agustino Mahiga-United nations
18:Balozi Amina Ally-Zanzibar
19:Balozi Ally Karume- Zanzibar
20:pro Sospeter Muhongo-Mbunge Kuteuliwa
21:Charles Makongoro Nyerere-Mbunge East Africa
22:DK Mzamini Kalokola-Kada Wa CCM Kutoka Tanga
23:Dk Hamis Kigwangala-Mbunge Nzega
24:Dk Mwele Malecela-Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimri),
25:Godwin Mwapango-Wakili mwandamizi Mahakama Kuu Ya Tanzania
26:Monica Mbega-Alipata kuw Mbunge Wa Iringa Mjini Tiketi Ya CCM.
27:William Mganga Ngereja_Mbunge sengerema
28:Luhaga Mpina -Mbunge wa Kisesa
29:Eldefonce Bilohe-Mkulima Toka Kijiji Cha Mjimtala Wilaya Ya Kasulu Mkoa Wa Kigoma
30:Amos siyantemi-Mtumishi Wa CCM Siasa Na Uhusiano
31:Boniface Ndengo-Mkazi Toka Mara
32:Leonce Mulenda-Kada Wa Chama Cha CCM
33:Amos Robert_Mwnafunzi Mzumbe College
34:Joseph Chagama -Kada wa CCM
35:peter Nyalile-Kada wa CCM
36: Maliki Malupu-Mwanafunzi wa Chuo cha Mzumbe
37: Augustino Ramadhani -Judge Mkuu Mstaafu.
38:Balozi Patrick Chokala -Mwandishi wa Rais Zamani na Balozi Wa Russia
39:Dk Harrison Mwakyembe-Waziri Wa East Afrika
 
Kuna baadhi ya watia nia sijui kama walijifanyia tathmini kabla ya kufikia uamzi wa kuchukua form. Hizo pesa bora wangefanyia mambo mengine au ndo kuchangia chama.
 
Mimi kama mwana ccm Makongoro na Benard Membe atleast wanakidhi vigezo 14 vya chama cha mapinduzi nawaombea wafike mbali
 
mawaziri wakuu watatu, huenda mwaka huu tukapata rais kutoka kwa mawaziri wakuu waliotangulia japo ni ukweli mchungu kua toka nchi hii iwe jamhuri hakuna waziri mkuu amewahi kua rais :car:
 
Mpaka Sasa hawa ndio waliojitokeza Kutia Nia kwa Tiketi ya CCM
1:Dk Gharib Bilal Makamu Wa Rais
2:Mizengo Pinda -Waziri Mkuu
3:Steven Masatu Wasira- Waziri Mwandamizi-Kilimo Na Chakula
4:Mark Mwandosya -Waziri Mwandamizi wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalumu
5:Samwel Sitta Waziri Mwandamizi-Waziri Wa Uchukuzi
6:Benard Membe Waziri Ushirkiano Kimataifa
9:Lazaro Nyarandu Waziri Maliasili Na Utalii
10:Mwigulu Nchemba Waziri Naibu Fedha
11:Dk John Pombe Magufuri Waziri Ujenzi
12:Mathis Chikawe Waziri Wa mambo Ya Ndani Ya Nchi
13:DK Titus Kamani Waziri Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,
14:January Makamba Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia,
15:Dk Asharose Migiro Waziri Wa sheria Na Katiba
24:Dk Mwele Malecela-Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimri),

Serikali iko mitaani inasakanya majina... bajeti zinasimamiwa na wawakilishi:becky:
 
Katika utitili wote huo angalau anaeweza kuuzika na kukubalika kwa kiasi fulani kwa sasa ni namba 21,Labda kama bado kuna watangazania wengine zaidi ya hao.Waliobaki wote hawana lolote jipya la kuifanyia nchi hii zaidi ya kujaza matumbo yao.Wapo madarakani lakini nchi haisongi mbele kama inavyotakiwa.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Back
Top Bottom