Angalia jinsi mayai feki yanayotengenezwa na wachina hapa tz

MULANGILA

Member
Mar 20, 2012
20
3
Wana JF, Habari zilizopo zinasema kwamba wale walaji wa chips mayai wakae chonjo kwani kuna mayai ya Kisasa yanayotengenezwa na wachina hapa nchini. Angalia picha za mchakato mzima wa jinsi yanavyotengenezwa.
 

Attachments

  • image002.jpg
    image002.jpg
    32.1 KB · Views: 462
  • image001-1.jpg
    image001-1.jpg
    67.4 KB · Views: 444
  • image003-1.jpg
    image003-1.jpg
    23.2 KB · Views: 362
  • image004.jpg
    image004.jpg
    21.4 KB · Views: 295
  • image005.jpg
    image005.jpg
    19.5 KB · Views: 314
  • image006.jpg
    image006.jpg
    22.5 KB · Views: 309
  • image007.jpg
    image007.jpg
    18.7 KB · Views: 266
  • image008.jpg
    image008.jpg
    30.7 KB · Views: 282
  • image009.jpg
    image009.jpg
    16.3 KB · Views: 262
  • image010.jpg
    image010.jpg
    17.5 KB · Views: 275
Uzi huu ulishakuwepo hapa FF muda kidogo, asante kwa kutukumbusha
 
SIO vibaya kama ni nafuu ila yasiwe na sumu, vipi mkemia mkuu anasemaje au hayajui
mwashangaa nini mbona watu wanabadilishiwa viungo vya kiti moto wanapona, mbona watu wanaotesha nywele (Rooney) na kuotesha meno!!!
 
Maelezo ya picha tafadhali tujue hasa hizo ingrédients
 
ndo mana siku hizi mageloz wengi hawana shape....tumbo kule...kiuno na ma mgogo na makalio vyote vipo
kwenye mstari ulionyooka kama gwaride la jeshi.
 
Huu uzi ulikuwepo kitambo sana search kwenye post zangu nilizopost hapa jamiiforums utajua
 
Najitahidi sana kukwepa vyakula vya kisasa. Nilishasema, sijakula wala sitarajii kula sumu kama kizo. WATANZANIA TUWE TAYARI KUBADILI FIKRA ZETU JUU YA HIVYO VYAKULA NA VINYWAJI
 
HUU NI UUAJI KWAKWELI. Mi ni mlaji sana wa mayi ila nasikia kama nguvu zangu zinapungua sana! Kumbe ndo haya mayai! Tumekwisha.
 
nawashauri tuchukue sheria mkononi pindi tutakapo gundua mtu anyefanya huu mchezo
 
ndo mana siku hizi mageloz wengi hawana shape....tumbo kule...kiuno na ma mgogo na makalio vyote vipo
kwenye mstari ulionyooka kama gwaride la jeshi.

Ila kweli, hata men nao dez ,naniliuu kama vipipi vinapungua tu,mwisho vidisapie kabisaa,vipipi vyenyewe havikai havisimami...!wanaishia kuchuja tui la3! Jepesii kisa chnese!Tena after 1min!Lol
Miguu inagongana magotini,membambaa aina nguvu,vmikono virungu tu kwa msaada wa gym, minyonyo ka wadada!, sura znachokaa,.wanakomaa kabisa yan! Sauti kushney tunashindana sasa!Mchina atatuulia vijana wetu!wadada ndo kbsaa kuanzia poda!
 
Back
Top Bottom