Angalia: Ishara 9 kuwa wewe ni mtu mwenye akili ila hujui tu

Kama utampima samaki kwa uwezo wake wa kupanda kwenye mti itakuchukua maisha yako yote kuamini kua samaki hana akili

By Albert Einstein.
 
Naongeza.

(1)Watu wenye akili ni watulivu sana na wapenzi wa kukaa mwenyewe .

(2)hupenda kusikiliza mziki lakini si ule wa kelele nyingi kama wa hizi bar zetu.

(3)sometimes wanaoneka wakatili sana lakini mioyoni mwao wanatambua huruma iliyopo ndani yao .

(4)wengi wao ni watu wa mkakati sana I mean anaweza kutamani kufanya kitu leo lakini akatekeleza miaka mitatu baadae .

(5)watu wenye msimamamo thabiti pale wanapofikia maamuzi ya kuwa na msimamo.wengi wakisema no to anything wanakuwa wameshapangilia No yao mapema sana kabla ya kusema No.
 
Mie zote ninazo hila kwa kuongea mie naongea Sana tena kwenye mabasi sipendi kusikilizishwa napenda kuwasikilizisha
 
Duniani tumetofautiana tabia kutokana na mifumo ya maisha yetu pia imetofautiana.

Umewahi kujiona kuwa wewe si mwenye akili.

Basi hakika wewe ni mwenye akili sema hujui.

Haya ni mambo(ishara)za mtu mwenye akili;

1. Hujali kuhusu mambo yake tu (They mind their own business); watu wenye akili huwa wanajali kuhusu mambo yao tu. Huwezi kusikia wakiingilia mijadala isiyowahusu Kama vile mabishano yasiyo na mantiki labda uwakute wanaongelea mambo ya msingi na huongea kwa logic.

2. Wanapenda utani;watu wenye akili wanapenda sana utani.huvifanya vitu vikubwa kuonekana kama masihara. Hata ukiwauliza maswali unayodhani ni magumu hukujibu kiutani. Kuleta utani kila mara inahitaji ubunifu wa hali ya juu na kufikiri sana hivyo ni wenye akili.

3. Hupenda kusikiliza muziki;watu wenye akili hupenda kusikiliza muziki sana. Na wao hupendelea kusililiza muziki usio na mashairi yaani husikiliza zaidi zile beats (rhythm)Kuliko hata nyimbo zenye mashairi)

4. Wanakula chocolate;utafiti wa kisanyansi unaonesha kuwa chocolate ni chakula kinacho ongeza uwezo wa kufikiri na hudumisha Afya ya akili. Watu wenye akili hupenda kula chocolate sana inayowasisimua na kuwafanya wafikiri kwa kina.

5. Hawaongei Sana; watu wenye akili huwa sio waongeaji.Watu hawa huwezi kuwakuta kwenye ubishano wa umbea au mambo ya udaku.
wana mazungumzo yenye mantiki sio yenye kurumbana.

6. Hukiri makosa yao;watu wenye akili hupenda kukiri makosa yao pale wanapokosea na hupenda kujifunza na kurekebisha makosa.
Huwa hawajioni kuwa wamekamilika kwasababu hakuna aliyekamilika.

7. Hujiongelesha wenyewe;kama kuna nyakati huwa unakaa na kujiongelesha mwenyewe aidha ukitazama kioo cha chumbani mwako au akilini mwako. Basi tambua kuwa wewe ni mwenye akili Sana.

8. Hutafuta majibu(wadadisi);watu wenye akili hupenda kutafuta majibu kwa mambo yanayowatatiza. Kwa mfano mtu mwenye akili ukimuuliza swali hata kwa utani likamshinda atahangaika kutafuta majibu na baada ya muda hata wiki au mwezi utashangaa siku moja anakuja na kukwambia lile swali majibu yake ninayo

9. Wanafanya kazi kwa ustadi sio kwa nguvu; watu wenye akili hufanya kazi zao kwa akili sana.Hufikiri na kufanya maamuzi mazito sio kutumia nguvu bali ustadi.

Akili(Intelligence)
Watu(Smart)

Source:Bright Fact
Simuoni mwanaccm mwenye sifa hizo hata mmoja kuanzia Bashiru na Mzee Ngachingani
 
Kila mtu anaweza kuwa na akili sema Mara nyingi akili za mtu huweza athiriwa na mazingira,mfno dini ,kabila, (tamaduni) na n.k .Ila kitu kikubwa kinachoathiri akili ya mtu kuwa duni Ni DINI
 
Dini kiaje tufafanulie
 
Duniani tumetofautiana tabia kutokana na mifumo ya maisha yetu pia imetofautiana.

Umewahi kujiona kuwa wewe si mwenye akili.

Basi hakika wewe ni mwenye akili sema hujui.

Haya ni mambo(ishara)za mtu mwenye akili;

1. Hujali kuhusu mambo yake tu (They mind their own business); watu wenye akili huwa wanajali kuhusu mambo yao tu. Huwezi kusikia wakiingilia mijadala isiyowahusu Kama vile mabishano yasiyo na mantiki labda uwakute wanaongelea mambo ya msingi na huongea kwa logic.

2. Wanapenda utani;watu wenye akili wanapenda sana utani.huvifanya vitu vikubwa kuonekana kama masihara. Hata ukiwauliza maswali unayodhani ni magumu hukujibu kiutani. Kuleta utani kila mara inahitaji ubunifu wa hali ya juu na kufikiri sana hivyo ni wenye akili.

3. Hupenda kusikiliza muziki;watu wenye akili hupenda kusikiliza muziki sana. Na wao hupendelea kusililiza muziki usio na mashairi yaani husikiliza zaidi zile beats (rhythm)Kuliko hata nyimbo zenye mashairi)

4. Wanakula chocolate;utafiti wa kisanyansi unaonesha kuwa chocolate ni chakula kinacho ongeza uwezo wa kufikiri na hudumisha Afya ya akili. Watu wenye akili hupenda kula chocolate sana inayowasisimua na kuwafanya wafikiri kwa kina.

5. Hawaongei Sana; watu wenye akili huwa sio waongeaji.Watu hawa huwezi kuwakuta kwenye ubishano wa umbea au mambo ya udaku.
wana mazungumzo yenye mantiki sio yenye kurumbana.

6. Hukiri makosa yao;watu wenye akili hupenda kukiri makosa yao pale wanapokosea na hupenda kujifunza na kurekebisha makosa.
Huwa hawajioni kuwa wamekamilika kwasababu hakuna aliyekamilika.

7. Hujiongelesha wenyewe;kama kuna nyakati huwa unakaa na kujiongelesha mwenyewe aidha ukitazama kioo cha chumbani mwako au akilini mwako. Basi tambua kuwa wewe ni mwenye akili Sana.

8. Hutafuta majibu(wadadisi);watu wenye akili hupenda kutafuta majibu kwa mambo yanayowatatiza. Kwa mfano mtu mwenye akili ukimuuliza swali hata kwa utani likamshinda atahangaika kutafuta majibu na baada ya muda hata wiki au mwezi utashangaa siku moja anakuja na kukwambia lile swali majibu yake ninayo

9. Wanafanya kazi kwa ustadi sio kwa nguvu; watu wenye akili hufanya kazi zao kwa akili sana.Hufikiri na kufanya maamuzi mazito sio kutumia nguvu bali ustadi.

Akili(Intelligence)
Watu(Smart)

Source:Bright Fact
Kati ya hizi 9 mimi ninazo 7 kabisaa
 
Back
Top Bottom