Eti kwa raha zao!! M'Mungu atunusuru na vizazi vyetu!hahahahahah mi nimecheka tu hayo mashauzi yao! kha! jamani hii dunia imeshakwisha!
Tizama "catwalk" wanapeleka viuono lakini haviendi.
Eti kwa raha zao!! M'Mungu atunusuru na vizazi vyetu!
Huo mwendo hata mabint hawajimwagi hivyo.
Tizama "catwalk" wanapeleka viuono lakini haviendi.
halafu unabahati na hizi nyuzi za hawa waponzani wenu.Hhahaahahahab hiyo catwalk ndio mimi imenivunja mbavu.....
duniaaaa bye byeeee
duniaaaa bye byeeee
Nimenyoosha mikono juu.