Angalia hii: The bold,the georgeous and powerful love! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalia hii: The bold,the georgeous and powerful love!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, May 27, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Haya yanaweza kuwa mapenzi . 'hata kama ni something superficially',ingefaa kwa 'viongozi wa afrika' ukawa mfano wa kuigwa,ili na wale wanaowapigia kura wawe na 'point of reference'
   

  Attached Files:

 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa kibongo wako busy na ufisadi; watawezaje kupiga picha au kutulia na wake zao?
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Viongozi wa kibongo ni watu wa ndogo ndogo tu; mara nyingi huwaacha wake zao nyumbani kwenye safari zao za ujiko! We angalia wakulu wanapokwenda America wanaongozana na mensab wao?
   
 4. kui

  kui JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  Just beautiful!

  (God help me to get a husband like this)
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HAHAHA!umesikika.subiri private msgs utaona watoto wa-kiume wanavyojituma 'KUSUBMITT TENDER'
   
 6. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  nipo tayariii..

  una mapenzi lakinii au wataka mbwembweee tuuuuuu
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  'the first bidder' HUYOOOOOOOOOOOOOOOOO!
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  May 28, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Jamani huyu ni rais na kama walivyo marais wote anapaswa atembee na kumpublicise mkewe of which marais wetu pia hufanya mf. Mwinyi, Kikwete na hata Mkapa waliwapublicise wake zao au sijaelewa?

  Kwa case ya Obama hana tofauti na Mkulu wetu hapa bongo but we cant speak of his ministers kama nao wako kama wetu ..........!!
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahahahahah!
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mwana unamaanisha na Obama nae ana nyumba ndogo?
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  KAKA UNA MKATABA GANI NA HIZI MBAVU ZANGU?sasa nani ana 'small house?'
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  May 28, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Simaanishi hivyo ndo mana nikauliza kama nimemix sikuelewa. Nilichoelewa ni kuwa hizi pics zinamwonyesha Obama na mkewe na mtoa mada akasema na viongozi wetu wawe hivi nikaelewa kuwa rais anatakiwa kumpublicise mkewe na kusafiri naye kila aendako na mkewe huyo awe anatambulika na watu wote. Of which hata Kikwete anafanya. Asa hayo ya nyumba ndogo sikuwa nimeyafikiria kwa kuwa hayajakuwa potrayed kwenye picha hizo (in short that is the message that I got after looking at the pic)

  But hey as far as Obama is concerned......can we speak on his behalf? Inawezekana akawa nao maana mbona Clinton pamoja na kumtambulisha Hillary dunia nzima na kwenda naye kila kona bado kina Lewinsky walikuwepo?
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  May 28, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  I believe hujanielewa... mbona wancheka?
   
 14. kui

  kui JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  Nyauba,

  Mapenzi ninayo mengi tu, kama uko tayari we can try but, ondoa aibu za ki-africa maana I like "openess"
   
 15. kui

  kui JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  :wink:

  Nyauba, unaona hii picha?

  This's how I like it to be... most of the times.
  And I'll do even more in return...lol!
   
 16. kui

  kui JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  I don't believe Obama is like that, I don't him that much but, he seems to respect himself and his wife well.
   
 17. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Michelle na Obama ni mfano mzuri wa kuigwa kwa wale wenye ndoa.
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  hata wabongo tunayo mapenzi hayo jamani
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 20. kui

  kui JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  Kwa siku za sherehe tu
   
Loading...