Angalia hii picha halafu tupe mgawanyo wako wa mawazo

Lazma wanafunzi waelimishwe nini dhima ya Elimu.

Si lazma ukimalza chuo uajiriwe, elimu inakufanya uweze kujitawala wewe pamoja na mazingira yanayokuzunguka.
 
Now that we have a credible "Magamba" government that can pass a vote of confidence in certain parts of the world, our economy managers should now be working overtime about the plans and incentives to lure foreign investors so that the creation of jobs and industrial growth become a reality. The fact that we are now recruiting new and qualified personnel to run the government please note there are many investors out there willing to come on board to do business in our country.

Therefore you economists (I am not one though) what are you doing behind there? I will start you with one point:

1. For any new foreign investment that can create 500 jobs will have 3 years grace profits tax-free.
2.(Please continue here anyone)
 
Pomaja na mengine someni sera ya kazi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,'the gornment entertains Job creaters rather than Job seekers'kwa watanzania tusome alama za nyakati
 
We should rather change our mindsets and start thinking about employing others. Regardless of which party takes government, being able to recruit all University leavers at a time is a mere chimera. Joblessness is not endemic to Tanzania but seems to be a global crisis. In America itself, which is more developed, the unemployment rate keeps on unabately surging each year and their government is desperately seeking for possible solutions but vainly.

Mwita,nowadays una akili,au sio yule mwita tuliekua tunamfahamu.
 
We should rather change our mindsets and start thinking about employing others. Regardless of which party takes government, being able to recruit all University leavers at a time is a mere chimera. Joblessness is not endemic to Tanzania but seems to be a global crisis. In America itself, which is more developed, the unemployment rate keeps on unabately surging each year and their government is desperately seeking for possible solutions but vainly.

Mkuu acha kufananisha America na Tanzania!!! These are separate and very apart in comparison!!! Hapa kwetu hatuna hata takwimu ku-support effort zozote za serikali. 2005 walisema wata-create ajira 1,000,000 kwa kuanzia!!

2010 campain mkasema bar na vi-pub vya mitaani vimefunguliwa vingi na kujaza nafasi 1m. Shame on you na magamba wenzako!!! Mleta mada ametoa alert, ukichanganya wanaomaliza vyuoni ni disaster!!! Magamba, jueni mnatengeneza bomb bila kujijua!!
 
Kuwalaumu maHRO kwa kuwaita hao wanadamu 2200 kwa posts 12 ni kukimbia kivuli chako mwenyewe..mmesahau kuwa ukubwa wa Sample unakupa accuracy!!
The thing is ..1.Kuna tatizo la Ajira..2.Watu wetu wengi wanawaza kuajiriwa tu..3.Wanaosoma hizi Humanities wako tele...
Ushauri wangu: Serikali itengeneze Mazingira yatayovutia wawekezaji ili Ajira ziongezeke..UMEME kwanza uwe reliable...Wasomi wengi waelekezwe namna ya kujitengenezea ajira....Tusibweteke kutafuta kazi kwenye Daily News tu, tuangalie na Nje ya Mipake yetu, si tumesoma bwana kama vp hata Libya tukafanye kazi tu!!
 
HR wa UDOM hana mipango mizuri , kimsingi huwezi kuwaita watu zaidi ya 2000 kwa nafasi 10. walipaswa wafanye screening wabaki na watu wachache kisha wawaite kwenye usaili. Kama wanadhani ni transparance katika kuajiri they are deadly wrong kwa idadi hiyo. Ndio maana kinaitwa chuo cha KATA
 
Mimi nikiliangalia hili kwa akili tofauti navutika kuwapongeza HR Team ya UDOM, nadhani kwa ku-short list idadi hiyo ya watu walikuwa na lengo kuionyesha na kuithibitishia jamii ukubwa wa tatizo tulilo nalo, ili tuweze kujadiliana sisi kwa sisi na kutafuta njia mbadala katika shughuli za kijamii badala ya kuendelea kuwa tegemezi na kuacha mambo yaendeshwe na Auto Pilot, bali tugutuke na kujua kuwa tunawajibu wa kila siku wa kijamii katika kuisimamia, kuikumbusha na kuidhibu serikali pale inapobidi.
Wanajaribu kuchokoza hisia zilizo lala za jamii yetu ili tuisukume serikali isimame imara katika kutengeneza ajira au mazingira ya wananchi kujiajiri, HR DEPT MUMEFANYA KAZI YENU NA SASA NI WAKATI WETU WAKUICHUKUA, na kulifanyia kazi changammoto hili
 
.........eeh,hawa hata jeshini kwa idadi hiyo hawatachukuliwa!halafu hao udom nao,ni akili gani hii kuwaita wote hao?
 
Hii ni ya pili pspf nao waliita watu elfu moja kwa interview ya nafasi za kazi tatu siwaelewi kabisa labda ni danganya toootooo nahisi kama memo zishatembea hivi yaani watu flani tayari washapewa hizo post na hapo ni kukamilisha taratibu tu kama mtu anayetaka kuoa demu aliyemtia mimba!!!
 
Huyo aliyeita watu zaidi ya 2000 kwa nafasi 12 lazima akapimwe akili kwanini asi-short list hata 50 tu

Hivi hii inaweza ikawa imevunja rekodi ya idadi ya wageni waliopata kutembelea Dodoma kwa wingi zaidi kwa wakati mmoja? 2000 people. duh!!
 
kuna mdau kaongea hapa kuwa tuwahimize watoto wapende na masomo ya sayansi! naona yenyewe bado kunaviajila kidogo!

kozi kila chuo ipo khaaaa!
 
Jamani,tulianzisheni bana....Mimi nimechoka na huku kulalamika bila kutoa suluhisho...
Mapendekezo yangu ni kwamba:Tulianzisheni bila kujali ni sekta gani ipo hoi.
 
View attachment 39325hapa si uwanja wa taifa, hivyo ieleweke kuwa hawa si mashabiki katika mechi kati ya brazil na taifa stars
bali ni:-

[h=6]interview udom, walioitwa kwa interview kwa ajiri ya nafasi za hr walikuwa 2226 kwa nafasi 12 tu.
Hapo weka pembeni jumla ya waombaji, na vyuo kila mwaka vinazalisha wahitimu (sijasema wataalam).
Ni kama mzaha fulani lakini hebu tufikirishe vichwa kuhusu huko tuendak hali ikoje, ajira hakuna na wahitimu wamegotesha vichwa na fikara za katika kuajiriwa
.[/h]kama wote tujuavyo hapa nchini ngumu sana kufikiria kama au kuanzisha jambo, kwani tangu ungali shule, jamii imeshaanza kukudai na kukutegemea, na baya zaidi ni rahisi kwa mgeni kufanikiwa from (zero) 0 out of 10, lakini ni ngumu kwa wengi wetu kufanikiwa hata kama tuna 5 out of 10.
kwa picha tuionayo hapo juu mna mgawanyo upi wa mawazo?

mashala sheikh wangu hii jehanamu tuaze kuwafunza kutengeneza kazi mimi naona oppotunity ya cheap labour
 
Nawaza Tanzania ijayo na hatma ya watoto wetu... Kama nimefanya kazi zaidi ya miaka 20 sasa bado sijaweza kuanzisha chochote cha kutoa ajira kwa hata watanzania 2 itakuwaje kwa yule anamaliza shule/chuo sasa? Hivi, si kila mmoja wetu ana wajibu wa kuchangia kupunguza tatizo la ajira? mimi kwakweli sijafanya kitu na nina zaidi ya miaka 20 na ndio nazeeka naanza kukata tamaa... Pengine shule ya wakati ule haikutuandaa vizuri...
 
Si lazima kuajiriwa bali tunahitaji serikali kuweka fursa za watu kujiajiri uko hapo

Unajua hili tatizo la kujiajiri lilianzia pale Azimio la arusha lilipoanza. iliaminika kuanzisha private entreprise ni ubepari. sasa pamoja na kwamba sera zimebadilika lakini mind set zetu bado hazijabadirika, si za waanzishaji tu bali hata za wale wanaotakiwa kuratibu (Serikali). utashangaa mwekezaji anapewa tax holiday lakini mzawa unapoomba leseni tu tayari unakadiriwa na provisional tax. sio kama wanapenda ila usingizi bado haujatutoka sawasawa. Wakati mwingine hapa ndio utaona umuhimu wa kufanya mapinduzi ya kimfumo, yaani kubadirisha nani anasimamia sera... mfano kwakuwa tangu azimio la arusha na ujamaa na kujitegemea na CCM hadi leo ni CCM basi akili zinalala lakini kama tungefanya mapinduzi tukachagua moja ya vyama vya upinzani naamini hata kufikiri kwetu kungebadirika.
 
Back
Top Bottom