Angalia hii picha halafu toa maelezo yako.......Hali ikoje mkoani kwako....??? Je, Tutafika??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalia hii picha halafu toa maelezo yako.......Hali ikoje mkoani kwako....??? Je, Tutafika???

Discussion in 'Jamii Photos' started by Blood Hurricane, Jun 29, 2012.

 1. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hii ni Temeke hospitali. Hali za mama zetu ziko hivi.....Katika miaka 50 ya UHURU wa Tanzania sekta ya Afya inazidi kudidimia kila kukicha.

  Wajawazito_Temeke_Hospital.jpg

  Nawasilisha wadau mtoe maoni yenu.
   
 2. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Tobaaa! Aise!
   
 3. A2 P

  A2 P Senior Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unategemea madactari watafanyeje kazi katika mazingira kama haya wakati viongozi wanakwenda kupima uzito apolo india?
   
 4. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,528
  Likes Received: 16,510
  Trophy Points: 280
  Mishahara na posho kupanda pale wanapohitaji tu.Na kujenga ofisi za wabunge kila wilaya au mkoa.Mie nadhani hata bunge letu inafaa tulibinafsishe maana halina faida yoyote VFM=0
   
 5. D

  DCM Senior Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Ndio sababu madaktari wanalalamika,tatizo nchii hii bado iko katika siasa za propaganda ambazo kila siku ni kujaribu kupindisha ukweli na kuonyesha wananchi walio wengi kwamba watu wanapodai vitu vya msingi ni wabaya.
   
 6. awp

  awp JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tumethubutu, Tumeweza "tena kwa kishindo" na tunazidi kusonga mbelee magamba style
   
 7. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Waliogoma wote kurudishwa wizarani.......Wameanza na Bugando na pia Mbeya.
   
 8. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Mleta mada hao ni wakaazi wa temeke na ni wapiga kula kwa abasi mtemvu,na pia wao na ccm ni damudamu usiowachonganishe na chama chao kipendwa,mi nasubiri pinda jioni aje asema miaka 50 ya uhuru zile 64 bl pale taifa walivyozila
   
 9. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  God forbid!
   
 10. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
 11. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mka najuta kuzaliwa tanzania
   
 12. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa mnalalamika nini hivi nyinyi watanzania wakati haya yote ni ya kujitakia.Hivi mnadhani wanasiasa ndio watakuja kuondoa huu umasikini?Hakuna mwanasiasa yoyote anaweza kuja na roho ya 100% kuondoa umasikini.Watakuja kubwabwaja weee nahatimae mkiwachagua wakifika kwenye viti vya kuzunguka na viyoyozi vinawapuliza na account zao zinapendeza nje analindwa namkoo wa nguvu hawakumbuki tena kama kuna shida za aina hiyo.

  Watanzania mnatakiwa kuungana bila kujali dini wala itikadi kwa pamoja na kuonyesha kweli mnajali maisha bora na mnataka mabadiliko.Muache chokochoko za dini na kuungana kwa pamoja na kila mtu amuheshimu mwenzake na kusaidiana na kuelewana.Mkijigawa kwa udini au ukabila mnawapa chance hawa viongozi kutumia nafasi hiyo kufanya madhambi yao na kujua weekness yenu ipo wapi.Kuna usemi unasema "wagawe uwatawale"hivi ndivo mambo yanavokwenda ndugu zangu watanzania amkeni sasa.Mpendane na msaidiane bila kujali dini wala kabila na hata itikadi la sivo sijui mtawaeleza nini wajukuu zenu wataona mmepoteza muda wenu bure ktk dunia hii.
   
 13. m

  mob JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  wakuu waacheni madaktari waendelee kugoma wakidai hali ibadilike.hapa ndo utaelewa sisi hatuna vipaumbele ila tuna vipaumbele vya kufanya sherehe tu
   
 14. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania na CCM itatawala MILELE!
   
 15. R

  Rev. Damasus Mkenda Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  To everything there is a season, and at time to every purpose under the Heaven!!! Ecclesiastes 3:1
   
 16. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,230
  Trophy Points: 280
  hakyanani utajuta kupata mimba.
   
 17. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Mi nilifikiri mshikaki ni kwenye pikipiki tu kumbe hata kwenye vitanda vya wazazi hata muhimbili nimeona kwenye jengo la wazazi kuko hivyo hivyo, safari bado ndefu sana kama gari lenyewe litaendelea kuwa ccm
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Alafu kuna wajinga wanasema tuipe muda serikali, wamepewa muda miaka 50 lakini hakuna jipya.
   
 19. KML

  KML JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  haya na apo utasema wanagoma kwa ajili ya mishara na maslahi yao kweli??
   
Loading...