Digaller
JF-Expert Member
- Oct 20, 2009
- 777
- 486
Heshima kwenu wakuu,
Nimejaribu kutafuta post ya kuelezea hii kitubila kwa bahati mbaya sijaipata, kwahiyo nami kwa kutumia kile nilichopata nimeona si mbaya nikashare nanyi jinsi gani unaweza kuangalia Skysports na Btsport hapo hapo kwenye simu yako.
Vitu inavyotakiwa kuwa navyo ni simu ya android, ikiwa na bundle hata la 500 haswa kwa halotel sababu wengine wamepunguza bundle zao.
Download application inaitwa mobdro hapa Mobdro APK 2017: Download Mobdro Apk (App) for Android
Then install kwenye simu yako, Kuna chanels nyingi sana so kwa wale wapenda michezo angalia sehemu ya sports then chagua Btsports au skysports na uwe unaangalia ligi mbali mbali bure kabisa.
NB: hii application haipatikani Playstore.
Enjoy!!