Angalia Angani Muda huu upande wa mangaribi jua linapozama utaona kitu

Sawa, kwa siku ile waliosema ni mars walisema kile kilochokuwa kinang'aa pembezoni ya mwezi ndio mars. Mpaka sasa ukiangalia angani kile kilichokuwa kinang'aa siku ile bado kipo pale pale kinang'aa.
Siku ile sikubisha suala la mars, ila nilisema wataalam na wana sayansi walisema mars itaonekana sambamba na lunar eclipse ila temporarilly.
Swali langu ni kinachoonekana mpaka sasa kinachong'aa bado ni mars iko pale au maana ndio kile kile kilichokuwa na lunar eclipse siku ile.

Kuna uwezekano mars ilionekana ila watu walikuwa preoccupied na satelite inayoonekana mpaka sasa na kudhani ni mars na kushindwa kuiona mars yenyewe. Ndio point yangu.
Telescope si hiyo hapo
 
HII NI FIXING TU HAKUNA SAYARI INA UWEZO WA KUZALISHA MWANGA UTAKAOSAFIRI UMBALI WA KUFIKA DUNIANI.
 
Kwa hio walimu walitudanganya kuwa Jupiter ni kubwa kuliko sayari Zote??!!
 
Kuna sayari tatu ambazo bado zinaonekana kwa macho.. Mars (south west), jupiter (above) na venus (north east). Zote hizo zinaonekana vizuri tu hata kwa macho.. Huyo jupiter ukiwa telescope unaweza kuona hadi hizo rings zake na moons zinazoizunguka..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom