Angalia aina hii mpya ya nyadhifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalia aina hii mpya ya nyadhifa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KiuyaJibu, May 12, 2009.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ewe:
  Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Shida ambaye pia ni Ofisa Mwandamizi wa Matatizo ya Ghafla;
  Waziri wa Mambo ya Nje wa Mawazo na Ushirikiano wa Kimaskini;
  Mwekahazina wa Dhambi;
  Mratibu wa Uoga;
  Rais Mstaafu wa Mapenzi na Udanganyifu wa Hapa na Pale;
  Katibu Mkuu wa Madeni;
  Balozi wa Vishawishi na Mkuu wa Malengo Yasiyotimia.

  Ukiwa kama mmoja wa watu wanaopenda kujishughulisha,nakuuliza ni yupi kati ya hawa mabosi hapo juu,uko tayari kufanya nae kazi?
   
Loading...