Katika utawala wa awamu ya nne mnyama tembo alikuwa na huzuni kubwa kutokana na kuwindwa kila mahali na majangili bila kufuatiliwa na uongozi wa awamu ya nne.
Katika uongozi wa awamu ya tano kwa kweli sasa hivi tembo wanachekelea huko porini kutokana na majingili kusakwa kila kona na wanaoapatikana na makosa hutandikwa miaka 20 jela.
Tunaiomba utawala wa awamu ya tano wakaze buti dhidi ya majangili ili tembo wetu wasiishe ambao ni urithi wa vizazi vijavyo.