Angalau Mji wa IRINGA nyumba zimekaa kimpangilio

can somebody please code the street names and numbers into GPS so we can start using it?
Actually Iring was one of the most organized towns in all Tz in the late 60s early 70s the town was so clean.
 
Nguluvi tange kwiringa, tuletele ndonya, na fibwa fyetu ufitangage vidutuvage mwe, nambi we fidodo hela be!
 
Tumeona miji mingi kama Dar es Salaam jinsi nyumba zilivyosongamana bila mpangilio. Je umeona mpangilio wa mji huu wa IRINGA? Hebu uangalie.

IRINGA HIYO. Angalia maeneo mengine kwa ku-drag picha hiyo

aliyewafundisha waha wahehe kujenga nyumba zinazofanana ninani? au zilijengwa na shirika/selikali/national housing? manake kila nikiona nyumba karibia zote zina vidoti katikati/kuna uwa katikati....inaonekana vizuri sana kusema kweli...
 
Hii bab kubwa, unaona mpaka milima ya kando ya mji.

Thanks GM7.
 
Hii bab kubwa, unaona mpaka milima ya kando ya mji.

Thanks GM7.

Tayari wameanza kuotesha vighorofa pale ktkt ya mji,uongo vinaongeza shoo kiaina. Raha nyingine ya Iringa ni kile kibaridi cha kiushikaji.
 
Lakini kama kawa ingepigwa close up ya nguvu tungeona bati zenye kutu kibao
 
Lakini kama kawa ingepigwa close up ya nguvu tungeona bati zenye kutu kibao

hata ulaya kuna vigae vyenye kutu mzee, vimechoka, kuta za nyumba hadi zimebadilika rangi, lakini ukiingia ndani ya iyo nyumba....kiboko. bati zisikutie pressure.
 
for sure miji mingi Tanzania imepangiliwa vizuri. angalia Iringa, Dodoma na Sumbawanga. I guess ndiyo zinaongoza kwa kupangiliwa vizuri. Pengine ndiyo sababu hazipewi hadhi ya majiji. Maana majiji yote Tanzania ni miji isiyo na mpangilio wowote - it could be ujenzi holela ndicho kigezo cha serikali kuupaisha mji, kwa mfano check Arusha, Dar, Mwanza, mbeya - aibu tupu na hayo ndiyo majiji ya TZ.
 
Tz hatuna uhaba wa ardhi. Ni uongozi usio na vision tu ndio unaosababisha slums na miji iliojengwa bila mpangilio.
 
Mtu kwao! ..Anyway. Iringa pana mwamko mzuri sana wa Maendeleo ya ujenzi!. ..Watu wa kule wanafanya kazi, na hivyo kujiongezea nguvu ya kipato, na kujiendeleza kwa kujenga nyumba bora!,..........Teamo upo?
 
Ena vanyakilambo na uwulasi wongepage hasa pale pa tanangozi, kumibiki mitali, na pa ludung'u lya nyi.

jamani wahehe wametuvamia! hongereni kwa mji wenu lakini. kwa upande wangu nilikuwa nafikiri Tanga ndio imepangwa vizuri zaidi. mwenye mji wa sumbawanga atuwekee hapo.
 
Kumbe vanya kuIringa tuli vongefu ipa. Nde ni mnya kuIhimbo wilaya ya Kilolo, Neng'ino ndikuikala kuMbeya. Karibuni.
 
Back
Top Bottom