https://www.jamiiforums.com/tech-ga...5-windows-phone-vs-android-niende-wapi-3.htmlWadau naomba mnijuze. Kwa sasa natumia java application. Nataka kuhama kwenda either android phone au window phone application. Naombeni kujua which is the best phone, faida na hasara ya kila moja. Natumai nitasaidiwa mawazo.