Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 202
Habari wakuu.
As you might have noticed, i'm a big fan of iPhone na kila kitu kilichokuwa Steve-jobbed. Hivi karibuni Apple wali-release iPhone 4S (iPhone for Steve) ambaye saa hizi amefariki (I wonder kama kwenye jiwe la kaburi lake wameandika iDead).
Sasa basi, kuna mtu alinikuta nikiwa kwenye Steve joblizing (nikiwa namsifia Steve) kupitia iPhone yake. Kaanza kunipinga KATAKATA! Anadai Android ndo kila kitu. Wataalam ndio nyie, mnadhani nani mkali? iPhone au Android?
Nawasilisha.