ANDROID TV BOX MXQ PRO

S

Simon Kaboja

Senior Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
166
Points
250
S

Simon Kaboja

Senior Member
Joined Nov 13, 2016
166 250
ANDROID TV BOX MXQ PRO
4K ULTRA HD
INTERNET TV

wapenzi wa mipira, movies, tamthlia hii itawafaa, TV box inakuwezesha kuangalia channels nyingi Sana bila kutumia king'amuzi chochote, utaweza kuinstall application uipendayo, unaweza kuangalia mipira ligi zote kubwa duniani (epl, la liga, bundesliga, serie a, uefa, ueropa nk) na michezo mingine yote.

Android tv box ni device ambayo unaunganisha na tv yako kupitia hdmi cable, inatumia mfumo wa apps zipo apps ambazo tayari tumeshakuwekea kupitia izo apps utapata access ya channels mbalimbali za mipira ligi zote, michezo yote, movies nk, pia unaweza kudownload app yoyote unayoipenda ukatumia kwenye screen yako, unahitaji tu access ya internet kuweza kuangalia, unaconnect wifi, unaweza tumia hotspot ya simu yako, router au kupitia ethernet cable.

MAKE YOUR SCREEN SMART

bei: 150,000/=
Mahali: Makumbusho bus stand
Simu: 0656190449

#SKMOFFER
 

Forum statistics

Threads 1,316,113
Members 505,494
Posts 31,879,434
Top