Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 136
Wadau wa Android, nataka app yetu iwe na uwezo wa kupokea SMS (One Time Password) inayotumwa kutoka kwenye server-side kuja kwenye android mobile app.
Nimejaribu kufuata na ku-implement kama ilivyooelekezwa HAPA, lakini hakuna SMS yeyote inayopokelewa na kuchakatwa na mobile app. Server-side inatuma SMS vizuri na inafika kwenye simu ya mtumiaji wa app, lakini haiwi processed na SMS retriever.
Naomba michango yenu wadau.