Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 912
Jamani habarini humu naombeni kuuliza Kuna kipindi nilikua naona kwenye mtandao wa Alibaba pc flani ndogo zilikua zinaendeshwa kwa Android. Sasa ningependa kujua je zinapatikana madukani na bei ni kuanzia TSH ngapi? Uzi tayari.