Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

Wakuu kuna app inaitwa GL to SD nzuri sana inahamisha game data kwenda kwenye memory card na game bado linacheza vizuri bila kukwama so phone memory inabaki wazi kwa wale wa TECNO inawahusu ila inahitaji root.
 
Jaman msaada pliz.natumia huawei g510 tatizo simu imekua slow sana na nilichange storage kutoka internal to external.sasa pia Nikita kuapdate some applications naambiwa no enough storage capacity wakati extenal card INA zaidi ya 4gb!!nifanyj angalau kuongeza speed na izo update ziweze kufanyika vizuri
 
Root simu yako instal GL to SD app hamisha app data to SD.
 
Safi sana Wakuu, hivi hii Anti-Virus ya 360 inapokuwa On ulaji wake wa chaji ni mkubwa kama Watsup?
 
Ku updgrade android 2.2.1 katka samsung galaxy mini GTS5570 nafanyaje?? Nimetumia kies bado optn ya start upgrade haionekani kwny pc. Msaada plz
 
mi nlikua naulizaa kunaa madhara yeyotee katika Sim za android pind unapoinstall baadhi ya themes kwa minajil y kurembeshaa
 
wakuu nahitaji application itakayoniwezesha kudownload lyrics za nyimbo mbalimbali.

Tafuta lrycs finder kwa play store but best thing ni kwend google search Ttpod player hii ina karaoke ndani ...ipo poa a sana pia ina equalizer n vitu vingine vizuri
 
guys nimesikia next android version ni android L, sasa kama trend yao ni kuhusu msosi, hii L inasimama badala ya chakula gani? sijapata muda wa kupita pita mtandaoni ila kwa ambao mnajua itakuwa na vitu gani tuanze kupeana taarifa
chief-mkwawa, nurbert, NingaR na wengineo
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom