redcarpet
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 234
- 198
Habari za leo wataalamu hizi kazi ni uhakika wangu popote mlipo mko vema na mnapambana vilivyo na haya maisha.
Nisiwachoshe sana na kama mnavyoona title yangu hapo juu nimeona ni vema nikawashirikisha kabla sijafanya chochote. Leo kama kawaida nimewasha simu nikakumbana na maelezo ya ku update cm yangu kutoka android 9 kwenda android 10.
Kabla ya kushusha toleo hili jipya ningeomba kujua kuna faida au hasara kwenye hii issue. Kuna mahali nishawahi kusoma wanadai android 10 inamaliza betri sana je kuna ukweli wowote
Nawasilisha